FULSA❌ndugu wa jamii forums naomba tujuzane fulsa za biashara ndani ya Africa kuna mtu alinambia Madagascar kunafulsa kubwa ya bishara ya nafaka kwani nchi io hawana elimu ya kutosha kwenye swala la kilimo kwa yoyote anaejua kuhusu Madagascar anaweza kushare chochote tukajifunza
Tujazane❌FULSA❌
FURSA ✔️
🐒
Fursa zipo popote lakini kabla ya kufikiria huko mbali kote.. Je hapa una nini?ndugu wa jamii forums naomba tujuzane fulsa za biashara ndani ya Africa kuna mtu alinambia Madagascar kunafulsa kubwa ya bishara ya nafaka kwani nchi io hawana elimu ya kutosha kwenye swala la kilimo kwa yoyote anaejua kuhusu Madagascar anaweza kushare chochote tukajifunza
Bidhaa zipo nyingiFursa zipo popote lakini kabla ya kufikiria huko mbali kote.. Je hapa una nini?
sawaaFULSA❌
FURSA ✔️
🐒
Nilikua najadili na wenzangu kuhusu kutafuta masoko zaidi ya bidha zilizopo Tz nikakutana na hili la MadagascarMadagascar haina watu walioamka? Madagascar ina wahindi wazawa kibao pale
Afrika zipoNdugu wa Jamii forums naomba tujuzane fursa za biashara ndani ya Africa kuna mtu alinambia Madagascar kunafursa kubwa ya bishara ya nafaka kwani nchi hiyo hawana elimu ya kutosha kwenye swala la kilimo kwa yoyote anaejua kuhusu Madagascar anaweza kushare chochote tukajifunza.
Wazo zuri kaka lakn mpaka nafikiria uko kote kwasababu natafuta masoko zaidi yenye bei nzuri zaidi kwa bidhaa ninazo tradeFursa zipo popote lakini kabla ya kufikiria huko mbali kote.. Je hapa una nini?
Mkuu Joseph Magrin ungefunguka bidhaa ambazo una trade ili iwe rahisi kuunganisha na huko Madagascar sababu unaweza ukafikiria masoko ya mbali wakati hapa hapa bongo Kuna mahitaji makubwa ya hizo bidhaa.Wazo zuri kaka lakn mpaka nafikiria uko kote kwasababu natafuta masoko zaidi yenye bei nzuri zaidi kwa bidhaa ninazo trade
Niliskia kua soko la bidhaa za nafaka nikubwa mnoo kule kwani hawana elim ya Kilimo ipo nyuma sanaa kuleeMkuu Joseph Magrin ungefunguka bidhaa ambazo una trade ili iwe rahisi kuunganisha na huko Madagascar sababu unaweza ukafikiria masoko ya mbali wakati hapa hapa bongo Kuna mahitaji makubwa ya hizo bidhaa.
Akujaa kaa vizuri au?Afrika zipo
Ila huko Madagascar mtihani
Tupe mwongozo wa fursa za biashara love