Hussein Saidi Mbwana
New Member
- May 28, 2018
- 3
- 0
Nahitaji kujua bei ya mahindi na wapi yanapatikana kwa sasa ili tufanye biashara
Shukran mkuu na vipi yanapatikana kwa wingi5000 mp 6000 debe sumbawanga
Leo Nipo sumbawanga! Sijapata taarifa bado, nikipata nitakujuzaMkuu habari yako? Nilikuwa naomba msaada wa kujua bei ya mahindi kwa sasa ni shlng ngapi na wapi yanapatikana mkuu?