Tujuzane aina ya manukato (perfume) unayotumia

Pesa ni ya kawaida.niliwasiliana nao.wamenibadilishia wakanipa clone ya 212 sema kwa mimi sijawai tumia 212.so sina uhakika kama zinafanana 212 OG.lakini nimeielewa kwa kiasi flani
212 ni habari ingine. Hii naitumia kwa special occassion.
 

Attachments

  • 2017-10-03 17.53.35.jpg
    82.8 KB · Views: 160
Aisee ukitaka ung'oe mademu wakali bila mtongozo paka hizi perfume.... Daima haziishi kwa Galery yangu....

1. Bleu De Chanel

2.Silver Shadow by Davidoff

3. Cool water by Davidoff

4. Guess Seductive Homme

5.Acqua Di Gio profumo by Giorgio Armani

6. Le male by Jean Paul Gaultier

7. Lanuit De L'homme by Yves Saint Laurent

8. Moschino Uomo?

9. CK one shock by Calvin Klein

10. Sentiment by Escada

11.Sauvage Dior

12. Creed by Aventus

13. Versace Eros

14. Individuel by Mont Blanc

15. 1million by pacco Rabanne

16.Issey Miyake

Mimi ninazo zote hizo Na nyingine nyingi za majina but unaweza jichanga ukanunua moja tu hutojuta.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…