Tujuane Kuelekea El Clasico ya Leo 2 APRIL

Leo Madrid akiifunga Barcelona naacha kushabikia mpira
1459584469512.jpg

Update
Aggregate 0:4 1:2 =
Barcelona win 5:2
Viva Barcelona
 
Niko kwa wanaoujua mafundi hawa Barcelona..!

Kuna watu wana akili mbaaya eti kuna wengine bila hata chembe ya aibu wanasema ni mashabiki wa Eti Man U, eti Chelsea kweli una akili zako timamu unaiacha barcelona unaenda kushabikia eti Chelsea?

Kweli kila binadamu ana ikichaa na wendawazimu wake albert Ainstein.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom