Tujiulize maswali : Uchaguzi mdogo ( Kinondoni )

Dumbuya

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2014
Posts
596
Reaction score
880
Wakuu ,

Napenda kudeclare interest kwenye ishu inayoendelea mitandaoni na hata katika jamii ya Tanzania kwa ujumla.Sina uanachama wa chama chochote,sishabikii uhalifu,sishabikii uminywaji wa haki za kibinadamu na za kikatiba,sishabikii uvunjifu wa sheria na katiba ya JMT.Mimi ni mtanzania,raia safi na mtii wa sheria bila shurti.

Naungana na watanzania wenzangu kuomboleza kifo cha binti aliyefikwa na mauti pamoja na wengineo katika harakati za uchaguzi katika jimbo la kinondoni.Mungu azipumzishe roho zao pema peponi !

Uchunguzi unaendelea na siyo vizuri kuingilia uchunguzi wa kipolisi kwa kuwa jambo lipo kwenye mikono ya dola tayari.Lakini umma wa watanzania umejawa na maswali mengi.Wadadisi wanasema ili kupata jibu sahihi ni lazima kuuliza swali sahihi.

Naomba tuandike maswali ambayo pengine yakipatiwa majibu yatasaidia kuelezea mnyororo wa matukio yaliyotokea :

1.Ni kwanini mkurugenzi kwa kujua na kutambua umuhimu na unyeti wa zoezi la uchaguzi,acheleweshe barua za mawakala?

2.Je,ni kwanini kama vyama vya siasa(husika) vilikuwa na shida,Mkurugenzi asitoe muongozo mapema kabla ya uchaguzi kusudi watu wapige kura kwa amani na kumchagua kiongozi wao?

Endelea ;
 
Maagizo kutoka mbinguni halafu mtukufu eti anasikitika ccm wanafiki sana
 
Hii nchi kilichobakia ni watu kutoka tu barabarani lakini mioyoni wana chuki nyingi sana!
 
naunga mkono hoja tuanzie hapo! maana kiini cha matatizo haya ni ucheleweshwaji wa viapo vya mawakala! mengine kama ya nani alikua na bunduki yatafuata baadae!
 
Wakuu ,

Napenda kudeclare interest kwenye ishu inayoendelea mitandaoni na hata katika jamii ya Tanzania kwa ujumla.Sina uanachama wa chama chochote,sishabikii uhalifu,sishabikii uminywaji wa haki za kibinadamu na za kikatiba,sishabikii uvunjifu wa sheria na katiba ya JMT.Mimi ni mtanzania,raia safi na mtii wa sheria bila shurti.

Naungana na watanzania wenzangu kuomboleza kifo cha binti aliyefikwa na mauti pamoja na wengineo katika harakati za uchaguzi katika jimbo la kinondoni.Mungu azipumzishe roho zao pema peponi !

Uchunguzi unaendelea na siyo vizuri kuingilia uchunguzi wa kipolisi kwa kuwa jambo lipo kwenye mikono ya dola tayari.Lakini umma wa watanzania umejawa na maswali mengi.Wadadisi wanasema ili kupata jibu sahihi ni lazima kuuliza swali sahihi.

Naomba tuandike maswali ambayo pengine yakipatiwa majibu yatasaidia kuelezea mnyororo wa matukio yaliyotokea :

1.Ni kwanini mkurugenzi kwa kujua na kutambua umuhimu na unyeti wa zoezi la uchaguzi,acheleweshe barua za mawakala?

2.Je,ni kwanini kama vyama vya siasa(husika) vilikuwa na shida,Mkurugenzi asitoe muongozo mapema kabla ya uchaguzi kusudi watu wapige kura kwa amani na kumchagua kiongozi wao?

Endelea ;
Bila mauaji hakuna ushindi kwa ccm .
 
Tatizo sio mkurugenzi Tatizo ni raisi Magufuli.

Kuwapa onyo wakurugenzi kutotangaza ushindi kwa upinzani.

Mkurugenzi alishaona chadema inachukua jimbo kukawa Hamna namna zaidi ya kuvunja sheria.

MAGUFULI APUNGUZE MATAMKO YATAKAYO LETA MADHARA NA MACHAFUKO INCHINI.
 
Cha ajabu.
HAKUNA WA KUWAHOJI NEC.
LAWAMA ANAPEWA MBOWE.
NEC HAIHOJIWI KWA LOLOTE WAKATI WAO NDO CHANZO.
TUNAISHIA KUTOA POLE.
ITASAIDIA NINI?
ANGEULIWA MTU WA KWENYE MAANDAMANO MNGETOA POLE KWELI?
MUNGU ULIPA HAPA HAPA.
NA UENDA DAMU YA AKWILINA IKALETA UKOMBOZI.
 
naunga mkono hoja tuanzie hapo! maana kiini cha matatizo haya ni ucheleweshwaji wa viapo vya mawakala! mengine kama ya nani alikua na bunduki yatafuata baadae!
Hapana, kiini cha tatizo ni huyu asietulia, angetulia yangetokea hayA? Tuanze na asietulia.
 
KUSINI MWA JANGWA LA SAHARA....
The vast majority of people living with HIV are located in low- and middle- income countries, with an estimated 25.5 million living in sub-Saharan Africa. Among this group 19.4 million are living in East and Southern Africa which saw 44% of new HIV infections globally.........................................................

SUB-SAHARAN AFRICA: A LANDSCAPE OF POLITICAL INSTABILITY
In many other African states, there is a tendency for democratically elected governments to monopolize political power by creating one party states to stifle opposition parties. This often leads to a police state with the adoption of socialist ideologies.......................................................................................................
 
Hapana, kiini cha tatizo ni huyu asietulia, angetulia yangetokea hayA? Tuanze na asietulia.
Hapana! huyu asietulia kafuata huduma! fikiria unakata tiketi kupitia mtandaoni na kesho una safari, mpaka kufikia jioni huna kitu, ukiifuata kuna ubaya?
 
Wakuu tujikite kwenye maswali ya msingi ambayo yanaweza kutupa mwanga juu ya tukio hili..

3.Je,ni kanuni gani zinaongoza matumizi ya silaha za moto katika kutuliza ghasia/vurugu ??
 
Wakuu ,

Napenda kudeclare interest kwenye ishu inayoendelea mitandaoni na hata katika jamii ya Tanzania kwa ujumla.Sina uanachama wa chama chochote,sishabikii uhalifu,sishabikii uminywaji wa haki za kibinadamu na za kikatiba,sishabikii uvunjifu wa sheria na katiba ya JMT.Mimi ni mtanzania,raia safi na mtii wa sheria bila shurti.

Naungana na watanzania wenzangu kuomboleza kifo cha binti aliyefikwa na mauti pamoja na wengineo katika harakati za uchaguzi katika jimbo la kinondoni.Mungu azipumzishe roho zao pema peponi !

Uchunguzi unaendelea na siyo vizuri kuingilia uchunguzi wa kipolisi kwa kuwa jambo lipo kwenye mikono ya dola tayari.Lakini umma wa watanzania umejawa na maswali mengi.Wadadisi wanasema ili kupata jibu sahihi ni lazima kuuliza swali sahihi.

Naomba tuandike maswali ambayo pengine yakipatiwa majibu yatasaidia kuelezea mnyororo wa matukio yaliyotokea :

1.Ni kwanini mkurugenzi kwa kujua na kutambua umuhimu na unyeti wa zoezi la uchaguzi,acheleweshe barua za mawakala?

2.Je,ni kwanini kama vyama vya siasa(husika) vilikuwa na shida,Mkurugenzi asitoe muongozo mapema kabla ya uchaguzi kusudi watu wapige kura kwa amani na kumchagua kiongozi wao?

Endelea ;
3. Je Viongozi wa Vyama wanafahamu na kufuata Katiba na Sheria za Nchi?

4. Je, ni sahihi kiusalama kufanya maandamano ya Kisiasa baada ya saa 12 jioni!?

5. Je, ni utaratibu gani unaofuatwa kutawanya waandamanaji wasio na silaha!?

6. Je, silaha za Moto zinaweza kutumika kuwalenga Viongozi fulani na wakaumizwa wasaidizi pekee!?

Wachunguzi wengine wa kujitegenea waongeze maswali!!
 
Nitajieni sehemu moja ambako ccm inatakiwa na watz.....ni polisi na tume ya uchaguzi tu ndo wanafanya ccm iendelee kukaa madarakani......
Mwisho wao ukaribu sn sn
 
Back
Top Bottom