Tuna mpango wakufufua viwanda vyasamaki ili watoto wetu nawakazi wakanda yaziwa wapate ajira.
NAULIZA WAKATI AKIWA WAZIRI WAUVUVI ALIKUA HAONI KAMA VIWANDA HAVIFANYI KAZI?
anaeleza kufufua kwa nini aelezi vilivyokufa.? Nani kaua na kwanini.? Mipango ipo au atatumia miaka mitano kufanya upembuzi yakinifu.? Inashangaza sana na kuna watu wataipigia kura ccm.! Watanzania tuna laana