Maelezo meeeengi.Tujiulize huyo Deogratius Ndejembi-Dogo fisadi kuwa Raisi kweli?????
Tuzingatie huyu Mama hayupo sana kiafya hivyo kwa habari za ndani na wengi wanataka kumtoa kwa njia yeyote je akiondoka leo hii huyu dogo fisadi atatupeleka wapi? Yaani unaweza kumlinganisha huyu na Dr Nchimbi kweli tuweni makini sana na usahabiki
porojo zingine nonsense mno gentleman plz 🐒Tujiulize huyo Deogratius Ndejembi-Dogo fisadi kuwa Raisi kweli?????
Tuzingatie huyu Mama hayupo sana kiafya hivyo kwa habari za ndani na wengi wanataka kumtoa kwa njia yeyote je akiondoka leo hii huyu dogo fisadi atatupeleka wapi? Yaani unaweza kumlinganisha huyu na Dr Nchimbi kweli tuweni makini sana na usahabiki
Unataka atupeleke wapi? Bora huyu kuliko yuko marasta tundu lisuTuzingatie huyu Mama hayupo sawa je akiondoka leo hii huyu Ndejembi atatupeleka wapi?
Yaani unaweza kumlinganisha huyu na Dr Nchimbi kweli tuweni makini sana na usahabiki
Jasusi bobezi vs mcharukoporojo zingine nonsense mno gentleman plz 🐒
Usingejibu huu Uzi Leo nisingekula ningelala njaaporojo zingine nonsense mno gentleman plz 🐒
Maswali mengine wala sio maswali, kwenye uteuzi, hakuna mtu yeyote anayeteuliwa kwa kumlinganisha na mwingine, hivyo usitake kumlinganisha VP wa sasa na mtangulizi wake, kama ambavyo huwezi kumlinganisha P wa sasa na mtangulizi wake ni mbingu na nchi lakini ameweza, vivyo hivyo huyu aliyepo anaweza!.Tuzingatie huyu Mama hayupo sawa je akiondoka leo hii huyu Ndejembi atatupeleka wapi?
Yaani unaweza kumlinganisha huyu na Dr Nchimbi kweli tuweni makini sana na usahabiki
Huyu Ndejembi ndiyo tulikuwa tunamtaka kwa nafasi ya umakamu. Amechelewa sana kuja.Tuzingatie huyu Mama hayupo sawa je akiondoka leo hii huyu Ndejembi atatupeleka wapi?
Yaani unaweza kumlinganisha huyu na Dr Nchimbi kweli tuweni makini sana na usahabiki
Tiss ndio wakulaumiwaTuzingatie huyu Mama hayupo sawa je akiondoka leo hii huyu Ndejembi atatupeleka wapi?
Yaani unaweza kumlinganisha huyu na Dr Nchimbi kweli tuweni makini sana na usahabiki
ati?Jasusi bobezi vs mcharuko
hebu andikia kwa kiingereza gentleman, plz 🐒Kila mtu ni mlaji kikubwa asile sana akavembewa ,
Usingejibu huu Uzi Leo nisingekula ningelala njaa