Mi nafikiri pia bado nguvu ya umma kwa hizi nchi zetu tupo nyuma,Juzi eti kiongozi mzima mwenye nafasi kwenye baraza la mawaziri anasema sijawahi ona bajeti iliyowahi kushangiliwa kama hii"na simply shangwe izo zilikuwa na ushabiki tu wa kichama,Bila kuangalia athari ya mojakwamoja kiuhalisia kwa mwananchi wa kawaida"Ni mara ngapi C.C.M wanatumia wingi wao bungeni kushangilia shangilia tuu vitu hata vya hovyo,jambo likaharibika ndo wanajitokeza kuongea such kind of nonsense...Hii inchi ina viongozi wasio na haya wala aibu ever seen,ITS BIG SHAME TO C.C.M...We are tied of them