Rais aliwahakikishia watanzania kuwa endapo mafisada watamshinda basi watanzania wasiimwiite tena Rais. Sasa sote hebu tujiulize ya Lugumi, propanda tayari zimeshaanza kama tu za serikali iliyopita et hakuna hela ya umma ndani ya Escrow tena waziri mkuu Pinda akijinadi ndani ya
bunge.
Sasa serikali ya awamu ya tano nayo imeanza yaleyale eti hakuna ufisadi kwenye mkataba kati ta Lugumi na jeshi la polisi etu vifaa vilichelewa tu, sasa miaka mitani hivyo vifaa vilikuwa vikiletwa toka nchi gani hiyo? mbona haya hawausema kwenye kamati ya bunge?
Wakati sarakasi hizo zikiendelea tayari Lugumi ashakimbia nchi tangu j3 tena eti usiku wa manane!!!
Je, Rais amezidiwa ujanja na Lugumi au hana uwezo wa kumtumbua Lugumi ila akina kilango na wakurugenzi ndo mamlska ya Rais ya kutumbua yaishia hapo?
Au Rais alidhani kuwa mafisadi ni wapinzani kwamba angewatumbua harakaharaka kivile? ni dhahiri rais ajue fika kuwa kupambana na ufisadi ni kupambana na wanamtandao ndani ya ccm tena huu mtabdao unaundwa vigogo wa chama anachotoka Rais. Wakati mwingine atakujajikuta anapambana watangulizivwake, je ataweza cheza huu mdundiko? je wenye chama watakubaliana naye? labda endapo atakabidhiwa uenyeiti chama taifa hapo kwa sehemu ubwa anaweza kufaulu.