Tujikumbushe wahenga

Interesting
 
Ukiweka nitag mkuu
 
Noma sana naendaga Pretoria mara chache saana kwasababu maalumu ila naishi Johannesburg CBD
 
noma na nusu
ndoto zangu ni kuishi SA.
Bora Kuishi dunia ya kwanza
 
Inaendelea...
Mama mwenyeji alishtuka sana akauliza kulikoni ikabidi john amweleze kuwa hatujala tunaelekea siku ya tatu,ikabidi uji utayarishwe haraka na baadae chakula kamili sasa ubinaadamu ukarudi.
Bado ndoto zetu zipo pale pale na mwenyeji wetu alikuwa akitupa moyo sana tulikaa wiki pale hatuna vibari vya kuishi SA.
Siku moja huyu mwenyeji wetu alitembelewa na rafiki yake kipenzi toka pretoria baada ya maongezi ikawa safari sisi na yeye hadi pretoria maisha mengine yakaendelea..
Wakati huo hatuna uhalali tena wa kuishi huko ikatubidi twende wizara ya mambo ya ndani kuomba kibali cha kutambulika kama wakimbizi wa kisiasa toka TZ ilikuwa rahisi kuliko tulivyodhani na sababu kubwa wahudumu walikuwa wazungu,wazungu katika hali ya kawaida walikuwa wakipenda wageni weusi kuliko wazawa.
Hapo wa TZ tunaofamiana tulianza kuongezeka nakumbuka mmoja wa wenyeji wetu alikuwa maxmilian bushoke baba mzazi wa bushoke msanii, tulikuwa na rafiki yetu Maige Almasi yupo morogoro, Festo kaghoma yupo SA mpaka sasa na wengine wengi.
Hali ya maisha ilikuwa nzuri katika hali ya utafutaji siku moja tukajikuta tunaingia mikononi mwa polisi baadae gerezani newlock hapo nilikuwa mimi na mtu mwingine nakumbuka kesi ilikuwa mbaya na pona pona yetu ilikuwa hela itoke turudishwe TZ hela ikatoka tukaamliwa turudishwe makwetu,baada ya hukumu tukapelekwa airport (jonsmith airport) tukapanda twiga mnyonge(air tanzania) mpk dar es salaam kesho asubuhi tukawa mbele ya pirato mashtaka yakasomwa
NDG FULANI BIN FULANI
Tarehe isiyofahamika
Ukaondoka kupitia mpk usiofahamika
Ukaenda nchi isiyofahamika
Ukakaa muda usofahamika
Mpaka ulipokamatwa tarehe .....katika uwanja wa jk international airport baada hapo tukaripa faini ..
Looh maisha haya bwana
THE END


Sent from my SM-J730G using JamiiForums mobile app
 
daaaah
 
Oooo safi Sana, namimi nitaongezea kidogo

Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
 
Story hii unaweza kuandika kitabu cha kusaidia Vijana. Unaweza kuifanya kuwa very comprehensive
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ