Bernard bakari
JF-Expert Member
- Mar 30, 2016
- 407
- 781
Kumekuwa na tabia chafu iliyokithiri ya vijana wa kileo kuendekeza ngono zembe zenye kupoteza ndugu zetu wengi hasa kwa ugonjwa huu usio na tiba. Baada ya kutazama sana nini chanzo kikubwa cha ngono hizi hatarisha kwa maoni yangu nimeona vitu vitatu ndiyo chanzo kikubwa.
Mmomonyoko wa maadili ni chanzo kikubwa kinachosababisha ngono zembe, dada zetu wanatutesa kila sehemu kila mahari, wanavaa nguo zenye kuonesha maumbile yao, mapaja yapo nje, wengine hata vyupi hawavai rejea nguo aliyoenda nayo Giggy kwenye disco hakuvaa hata chupi hali kama ile kwa mwanaume lijali lazima jogoo awike hivyo huchangia wanaume wa sasa kutongoza tongoza ovyo.
Vijana kukosa kazi ya kufanya nayo ni chanzo kikubwa cha ngono zembe. Vijana wengi siku hizi hawajishughurishi na kazi tofauti tofauti kuweza kujiingizia kipato hivyo hawajikita kutegemea ngono kama chanzo cha kipato kwao hii ni kwa wadada na wakaka pia.
Starehe zilizovuka mipaka vijana wa leo tunapenda sana starehe, disko kila siku, pombe kwa sana. Kushamiri kwa starehe hizo kunafanya watu kila siku kutwa kutongozana huko kubadilishana namba, kununuliana pombe mwisho wa siku kimbilio na fadhila zao kujigijigi.
Kutokana na mambo hayo vijana tunaowajibu mkubwa wa kuondokana na ngono zembe tinaweza tumia njia zifuatazo kuepuka ngono zembe.
Kuoa au kuolewa ni namna mojawapo ya kuepuka ngono zisizo salama, ni ukweli usiofichika kuwa binadamu lijali anahitaji ngono sasa kama kila ukihitaji ngono hujui kwa kukimbilia ndipo inapokuja kuparamia kila mwanamke au mwanaume unayempenda kitu ambacho kinaweza sababisha majanga kama vile magonjwa mbalimbali ya zinaa. Nashauri vijana bora kuoa au kuolewa.
Kujiweka busy na kazi tofautitofauti pia inachangia kuepuka au kukwepa ngono zembe, kijana ukiwa unajishughurisha na shughuri yako unakuwa busy , jion unakuwa umechoka unaoga unakula unalala unajipanga kwa kesho unakuwa huna mawazo ya kukimbizana na wadada au wakaka wa mtaani kwako au sehemu nyingine.
Kuepuka kwenda na kupenda kutembelea sehemu za starehe, unaweza kuepuka ngono zembe kwa kuepuka kutembelea kumbi za starehe ili kupunguza ule uwezekano wa kuingia katika vishawishi vitakavyo kupelekea kijana kujikita katika ngono zembe.
Kujiwekea malengo yako ya kiuchumi pia itakusaidia kuepuka ngono zembe siku zote weka malengo makubwa kiasi kwamba unakosa hata elfu kumi ambayo inakupeleka kwenye matumizi mabaya, heshimu pesa iwekee kazi ya maendeleo utajikuta nadra sana kupata muda wa kujikita kwenye ngono zembe. VIJANA TUEPUKE NGONO ZEMBE UKIMWI UTATUMALIZA