1.what are the conflicts of interest between managers and stakeholders in the organizations that led into government to lost revenue?
2.what are the environment scientific reasons practiced by stakeholders of the organization which help the government to generate more revenue?
3.why does parliament of Tanzania refused to sign EPA contract?
Ukishindwa kabisa unaweka hizi hapa chini,ndio maswali mliyokua mnalalamika magumu haya?kama hilo la mwisho ukiandika zile points za reasons for protectionism unalipata lote...me mlivokua mnalia mtihani mgumu nikajua maswali maguumu,kumbe vijiswali vyenyewe ndo hiv!pathetic
kakosea.sahihisha sasa!sio tambo nyingi!
Ndo walisema hivyo hivyo "to lost" au ni kuyumba kwako tu??
unamkosoa mwenzio afu unashindwa kumsahihisha.wabongo bana
Ndo walisema hivyo hivyo "to lost" au ni kuyumba kwako tu??
hahahaaa, sisi wanamahesabu points hizo tulikuwa tunaziita all real numbersUkishindwa kabisa unaweka hizi hapa chini,
1) Land alienation
2) Forced Labor
3) Low wages
4) Poor technology
5) Poor infrastructure
6) Lack of education
7) Unemployment
8) Taxation
Yaani hizi point zimewafikisha watu chuo kikuu, huwa hazikataagi swali hata kama unaelezea issue ya Kibiti kwa mfano.
Kwa yale maswali labda yangeweza kujibiwa vizuri na Tundu Lissu au A. Chenge
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahaha....umenikumbusha O level kwenye history NA civics kwenye Essay hizo points zilikuwa hazikosi yaan Nita force kum seduce msahishaji mpaka atoe marksUkishindwa kabisa unaweka hizi hapa chini,
1) Land alienation
2) Forced Labor
3) Low wages
4) Poor technology
5) Poor infrastructure
6) Lack of education
7) Unemployment
8) Taxation
Yaani hizi point zimewafikisha watu chuo kikuu, huwa hazikataagi swali hata kama unaelezea issue ya Kibiti kwa mfano.
Hukumpata hapa Hivi kuna haja ya kumtamkia mtu live kuwa humtaki tena??Teh Perry again
Ukishindwa kabisa unaweka hizi hapa chini,
1) Land alienation
2) Forced Labor
3) Low wages
4) Poor technology
5) Poor infrastructure
6) Lack of education
7) Unemployment
8) Taxation
Yaani hizi point zimewafikisha watu chuo kikuu, huwa hazikataagi swali hata kama unaelezea issue ya Kibiti kwa mfano.
It seems jamaa alikua na mipango mikubwa sana juu ya ajira ya traππππIla eva we ni mchokozi.
Hahaa ukipanga na Mola anapanga. Bahati mbaya yake ila na yeye alijiharibia huku jukwaani kubwatabwata sana.It seems jamaa alikua na mipango mikubwa sana juu ya ajira ya tra
Mbona kiingereza cha hayo maswali ni kibovu?1.what are the conflicts of interest between managers and stakeholders in the organizations that led into government to lost revenue?