Tujikumbushe makundi ya wasanii hapa TZ waliobamba na wimbo mmoja kisha wakapotea

Kuna jamaa aliitwa Malick alimshirikisha Q chief unaitwa 'Ni mzuri'
Huyu alikuwa ni mwanachama wa kundi la Neck Breakers ambalo lilitamba na nyimbo kadhaa kama "nataka niseme" lakini baadaye lilikuja kupotea....

Malick aliimba wimbo huo akiwa kama solo artist....
 
Huyu alikuwa ni mwanachama wa kundi la Neck Breakers ambalo lilitamba na nyimbo kadhaa kama "nataka niseme" lakini baadaye lilikuja kupotea....

Malick aliimba wimbo huo akiwa kama solo artist....
AJUAE KUPIGANA
HAVUI SHATI WALA FLANA
NA HII NI DIBAJI
KWA WENYE VIPAJI
ULAZIMISHAJI WA MASHAIRI
UNAPOKITHIRI
TUNGO TUNABADIRI
KATUNI RHYMES SASA BASI
HATA USHIKE PEN NA KARATASI
HAUFIKI KASI HII
MJ RECORDS HAIJALIBIWII
MTAPOTEZA UFANISI
FIKRA ZENU MMEMWACHIA IBIRISI
NAE KAZIFIRISI,,,,,hiyo ni moja ya mistari ya Maliki kwenye verse ya kwanza inapoanza katika ule wimbo wao wa Nataka niseme..halafu kuna mstari huko mbele anakwambia
OLE WENU MNAOJIFANYA MASELA
MNAFANYA NOMA HALAFU MNAIOGOPA JELA
,,huyu jamaa alichana kwa hasira kinoma katika hii ngoma..mkuu wale wenzake wawili wa hili kundi walikuwa wanaitwaje majina yao??daaa hii ngoma naikubali hadi leo naisikiliza kila siku
 
Hv wale walioimba KULA KONA
Wanaitwaje
Hv wale waloimba CHELEA PINA
Wanaitwaje
 
Bashite ni nishidaQUOTE="K M S, post: 20150338, member: 404570"]Mkuu wa mkoa wa Dar ametoa kauli hiyo leo Dar wakati alipowatembelea wahanga wa mafuriko mkoa wa daresalam na kuwataka wahame maramoja maeneo hayo swali ni kweli wanasiasa wanapokua kwny majukumu yao wanatafuta sifa za kijinga??[/QUOTE]
Amekuwa sio mwanasiasa kwa kuitwa daudi bashite
aisee mkuu huu wimbo naupataje, nimejaribu google nimeukosa kabisa

Nimegundua sio kosa laki
 
Nani mchezaa G
Nani msemaa G
Aisee jamaa sjui yuko wapi siku hizi naona nae amekuwa G.
 
Back
Top Bottom