Tujikumbushe Majina ya wabunge wa zamani

Ngunangwa (RIP), Lutaraka, Anne Makinda, Chief Adam Sapi Mkwawa(RIP), Piusi Msekwa, Ukiwaona Ramadhani Ditopile Mzuzuri (RIP), Kuna yule mbunge wa ileje na waziri wa fedha enzi za mwinyi alikataa kuidhinisha pesa za mahujaji,
 
M
Kuna baadhi ya wabunge wa zamani (wengine washatangulia mbele ya haki) ambao kusikia au kutamka majina yao kulileta burudani ya aina yake miaka hiyo. Majina machache niliyoweza kukumbuka ni:

Kuwayawaya S. Kuwayawaya
Tuntemeke Sanga
Njelu Kasaka
Stephen Salum Nandonde
Semindu Pawa
Lepilal ole Moloimet
Benito Malangalila
Frederick Nteminyanda Fumbuka
Felix Tadeo Mwanambilimbi
Said Ngw’anangw’alu
Chrisant Majiyatanga Mzindakaya
Omar Kwaang’w

Major Kasanda TBR kaskazini
Bujiku Sakila -Kwimba
 
Ngunangwa (RIP), Lutaraka, Anne Makinda, Chief Adam Sapi Mkwawa(RIP), Piusi Msekwa, Ukiwaona Ramadhani Ditopile Mzuzuri (RIP), Kuna yule mbunge wa ileje na waziri wa fedha enzi za mwinyi alikataa kuidhinisha pesa za mahujaji,
Huyu cha ubishi mwenye msimamo wa kulinda maslahi ya nchi badala ya dini alitwa Steven Kibona Mbunge wa Ileje
 
Shibiriti- Misungwi , John Cheyo- Bariadi, Chediel Mgonja- Same, Elinawinga-Hai, Lucy Lameck- Moshi, Kate Kamba, Thabitg Siwale,Edward Barongo-Bukoba, Herman Kirigini, Basil Mramba , Jakaya Kikwete, Abdalah Natepe, n.k
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom