Mcheza Karate
JF-Expert Member
- Jun 30, 2011
- 690
- 354
unatufundisha nini hapo kuhusu kauli ya mwakyembe
"mh. Spika hatukupokea senti tano ya mtu wala baiskeli yake. Mwenye ushahidi tofauti, basi alithibitishie bunge hili tukufu.(Dr.H.Mwakyembe, Dodoma, 6. Feb.2009)". "Mh. Spika nimesimama hapa kuelezea masikitiko yangu ofisi ya bunge hadi ofisini kwangu hata kama wangeniita ningekwenda kwa miguu kama hamna gari na nilikuwa tayari kufanya hivyo, nimeonewa sana ktk hili"(Edward N. Lowassa, Dodoma, Feb,7,2009). "Mh.Spika napenda nitumie nafasi hii pia kumshukuru kwa moyo wa dhati kabisa mh. Edward Lowassa aliyeamua kujiuzulu kutokana na kuipenda nchi yake"(Mizengo Pinda Dodoma Feb,9,2009). Mwana JF umewahi kutafakari kauli hizi namna zinavyokanganya? Kumbe EL anaipenda sana nchi yake?(nadhani TANZANIA). Kumbe mratibu na mtekelezaji wa shughuli za serikali anamjua EL jinsi anavyoipenda nchi yake kumbe!!!!!!!!!! Hebu tafakari kabla ya kutoa jibu.
Mkuu haishangazi baada ya issue kubuma ni el alimteua mizengo na jk kutangaza tu
ungeziweka katika mfumo wa sauti tuone kama walikuwa wanayasema hayo kwa moyo mweupe kabisa!
Inategemeana na mtu mwenyewe anayetafakari: uwezo wake, mapokeo yake juu ya maneno hayo na pengine zaidi kabisa kama unajisikia tu kumchukia au kumpenda mzungumzaji. So wewe jipime ni zaidi ya kama yalivyo. Nani alisema maneno hayo ya bluu? Pinda au SPIka? hujaeleweka hapo mkuu fafanua vizuri"mh. Spika hatukupokea senti tano ya mtu wala baiskeli yake. Mwenye ushahidi tofauti, basi alithibitishie bunge hili tukufu.(Dr.H.Mwakyembe, Dodoma, 6. Feb.2009)". "Mh. Spika nimesimama hapa kuelezea masikitiko yangu ofisi ya bunge hadi ofisini kwangu hata kama wangeniita ningekwenda kwa miguu kama hamna gari na nilikuwa tayari kufanya hivyo, nimeonewa sana ktk hili"(Edward N. Lowassa, Dodoma, Feb,7,2009). "Mh.Spika napenda nitumie nafasi hii pia kumshukuru kwa moyo wa dhati kabisa mh. Edward Lowassa aliyeamua kujiuzulu kutokana na kuipenda nchi yake"(Mizengo Pinda Dodoma Feb,9,2009). Mwana JF umewahi kutafakari kauli hizi namna zinavyokanganya? Kumbe EL anaipenda sana nchi yake?(nadhani TANZANIA). Kumbe mratibu na mtekelezaji wa shughuli za serikali anamjua EL jinsi anavyoipenda nchi yake kumbe!!!!!!!!!! Hebu tafakari kabla ya kutoa jibu.