Jamiitrailer
Senior Member
- Oct 20, 2019
- 161
- 382
"Mimi natamani rais wetu ajaye awe na umri kama wangu wakati nilpoingia madarakani wakati ule,..,umri wa miaka miaka 55..kwa sababu hizi kazi zinachosha sana ukiwa na umri mkubwa"
Hayo ni maneno ya rais mstaafu Jakaya Kikwete katika uwanja wa majimaji ,Songea mwaka 2015 kabla ya dirisha la uchukuaji fomu kugombea urais kupitia ccm halijafunguliwa rasmi.
Baada ya kauli yake hiyo,watu wakaanza kupata hisia moja kwa moja kwamba wagombea wote wenye umri wa zaidi ya miaka 60 walikuwa hawana chao....na kati ya hao kulikuwa na Edward Lowassa na Benard Membe.
Magufuli alikuwa na umri wa miaka 57 mwaka 2015 alipogombea urais,...
Swali langu ni kwa Jakaya ni hili; Kama aliona kigezo cha kutozidi umri wa miaka 60 ni muhimu sana kwa kazi za urais, kwa nini sasa hivi Jakaya huyo huyo aone ni sawa..tena kwa mtindo wa kumtengenezea mazingira ya ujanja wa kupindisha taratibu ili mgombea mwenye miaka 65 awe mgombea pekee?
Huo umri wa miaka 65 ya Samia ndiyo ulikuwa umri wa Jakaya wakati akitoka madarakani.
Kama Jakaya kuptia uzoefu wake aliona kuwa na umri mkubwa kwa kazi za urais ni tatizo..,kwa nini leo ampigie upatu Samia miaka 65 ili akafanye kazi zinazochosha sana?
Nini kinachomfanya Jakaya aamini kwamba kwa Samia umri siyo tatizo..au kwa maslahi gani binafsi kwake Jakaya kiasi cha kuona ni bora Samia aendelee tu hata kama hatomudu kutokana na umri?
Kama Jakaya aliona hitaji la mgombea asiyezidi miaka 60 ni muafaka kwa mgombea urais kwa ajili ya uchapaji kazi makini na maslahi kwa taifa,..nini kimemgeuza leo aone Samia ataweza bila kujali umri wake na maslahi kwa taifa?