Tujikumbushe ILBORU

Hapo mbele kulikuwa uwanja wa paredi,form 1998 siku moja kabla ya mtihani wa mwisho tulipewa adhabu ya kulima hapo na ilikuwa pagumu sana,duu naona pamekuwa bustani nzuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…