Morning_star
JF-Expert Member
- Apr 21, 2018
- 6,009
- 17,471
Hii ndio definition sahihi ya Mungu. GOD IS ENERGY.God is just ENERGY not a thing
Goite
Mkuu mimi huwa nikitaka kumuelewa Mungu na-refer kwenye Mambo mengi, mfn dawa za asili zinavyofanya kaz..napata kujua kuwa haya yote ni just a small drop of power from the ONE HUGE INFINITE POWER!!Hii ndio definition sahihi ya Mungu. GOD IS ENERGY.
The force behind all power is energy. Sasa haya mambo ya dini ndio mvurugo balaa.
Sent from my SM-G570F using Tapatalk
Mkuu (nje ya dini zetu) sidhani Kama shetani yupo!!MUNGU NI NGUVU CHANYA(WEMA). SHETAN NI NGUVU HASI(UBAYA). biblia na quran etc ni miongozo ya wanadam namna ya kuishi kwa aman na upendo. Ni busara za watu wa nyakati zilizowekwa kwenye maandishi kwa ustad na werevu. Kwa lugha ya sasa ni KATIBA.
Hebu fikiria waliowengi kama tunavyojua kuwa vitu vyote viliumbwa. Sawa nakubaliana na kila mtu kuwa kila kitu kiliumbwa lakini kiliumbwa lini? Hapa tunaposema "lini" tunaongelea muda. Hivyo basi wakati muda in zero "0" ina maada hapakuwepo na kitu. Viumbe, dunia, mfumo wa sayari kama nyota, sayari zooote, jua, n.k. havipo! Pia mwanga hata giza hakuna! Kuko kimya kabisa kabisa utupu kabisa hata hiyo kimya haipo kwasababu illiumbwa!!Una hoja nzuri ila ulianza Pilau ukaja Ugali naona ukamalizia na Makande. Wachache nadhan ndo wanaeza elewa kwa mtiririko ulo enda nao
Unaweza kuwa sahihi. Mi na wewe tunajarib kufikiri tu nje ya box yan nje ya kukaririshwa. MUNGU tumwite WEMA. Shetan tumwite UBAYA. Hata hivyo wema na ubaya ni suala la utashi na dhamira. Navyo hutegemea mazingira ya kiumbe mwenyew kulingana na tafsir ya kanuni za kuishi alizojiwekea.Ubaya eneo X unaweza kuwa Wema eneo Y. Na kinyume chake.Mkuu (nje ya dini zetu) sidhani Kama shetani yupo!!
Mm nachojua kila kitu kina + & - energy(side)
Umeshawahi kuangalia video za wanyama mfn zile za NATIONAL GEOGRAPHY??
Huwa naona wanyama wanapigana, Kuna wanyama wanaiba mayai ya ndege wanachimba ardhi wanaficha, Kuna wanyama wanaua wenzao!! Huwa najiulza nao wanafanya hayo yote kwa sababu ya shetani???
Mimi naamini kuwa UBAYA NA WEMA (+&-/ two sides) is NATURE OF EVERYTHING.
Goite
Uko sahihi. Kuna vitu mleta uzi ame mix japo ana hoja nzuri.Una hoja nzuri ila ulianza Pilau ukaja Ugali naona ukamalizia na Makande. Wachache nadhan ndo wanaeza elewa kwa mtiririko ulo enda nao
Hebu fikiria waliowengi kama tunavyojua kuwa vitu vyote viliumbwa. Sawa nakubaliana na kila mtu kuwa kila kitu kiliumbwa lakini kiliumbwa lini? Hapa tunaposema "lini" tunaongelea muda. Hivyo basi wakati muda in zero "0" ina maada hapakuwepo na kitu. Viumbe, dunia, mfumo wa sayari kama nyota, sayari zooote, jua, n.k. havipo! Pia mwanga hata giza hakuna! Kuko kimya kabisa kabisa utupu kabisa hata hiyo kimya haipo kwasababu illiumbwa!! Yaani tupu utupu kabisa hakuna kitu hata cha kuanzia! Then, from nothing (hivyo kutoka katika utupu) labda "sauti" "sound" came out and said something out of nothing! But that sound to create came from where wakati ni tupu endelea kutafakari ingia ndani kabisa kwasababu hata kitu cha kuanzisha kitu hakuna na hakuna uwezekano wa kusababisha kitu kianze labda "may be" akili zinapogota kupata jibu ndo "MUNGU"
Nahisi Kama nimekuelewa zaidiMUNGU NI NGUVU CHANYA(WEMA). SHETAN NI NGUVU HASI(UBAYA). biblia na quran etc ni miongozo ya wanadam namna ya kuishi kwa aman na upendo. Ni busara za watu wa nyakati zilizowekwa kwenye maandishi kwa ustad na werevu. Kwa lugha ya sasa ni KATIBA.
Mkuu, for sure nimekuelewa Sana!!Unaweza kuwa sahihi. Mi na wewe tunajarib kufikiri tu nje ya box yan nje ya kukaririshwa. MUNGU tumwite WEMA. Shetan tumwite UBAYA. Hata hivyo wema na ubaya ni suala la utashi na dhamira. Navyo hutegemea mazingira ya kiumbe mwenyew kulingana na tafsir ya kanuni za kuishi alizojiwekea.Ubaya eneo X unaweza kuwa Wema eneo Y. Na kinyume chake. Mungu hujitokeza pale ukomo wa kufikir na kutenda unapoishia. Shetan hujitokeza pale mazingira yanapokataa kuendana na matakwa ya mazingira yako. Zote ni hali. Ndo maana Mungu anakuwa na maana pale usipoweza binafs kumudu mazingira yako ili ukabiliane na hofu hiyo. Vitab vya Sheria na simuliz za kale yan Biblia na Quran vimelenga kuweka mizan namna ya watu na mazingira yao kuhusiana. Yote haya chanzo ni HOFU. Itoshe kusema kwa habari kuumba, MUNGU ni UKOMO WA KUFIKIRI. na kwa habar ya kuishi MUNGU ni WEMA yan CHANYA.
Hata mimi nikifika kwenye lugha ndo huwa nachanganyikiwa, iweje tuwe na lugha tofauti ili hali tumetokana na mtu mmoja? Na hapo uwa nafikiria binadamu wa kwanza kuumbwa alikuwa mwanamke na alipata mimba pasipokujua imetoka wapi na walikuwa mapacha wengi tuu zaidi ya 4, kadri miaka ilivyosonga hiyo hali ilitoweka na kujamiana kukaanza na uwezo wa kuzaa watoto wengi kwa pamoja ukapungua kutoka watoto 8 mpaka 1Mkuu mm huwa nikitaka kumuelewa Mungu na-refer kwenye Mambo mengi, mfn dawa za asili zinavyofanya kaz..napata kujua kuwa haya yote ni just a small drop of power from the ONE HUGE INFINITE POWER!!
Nafika mahali nashuidwa nielezee vp nieleweke
Goite
[emoji16][emoji16]Hii ndio definition sahihi ya Mungu. GOD IS ENERGY.
The force behind all power is energy. Sasa haya mambo ya dini ndio mvurugo balaa.
Sent from my SM-G570F using Tapatalk