Tujihadhari - Propaganda, Weapon of Mass Persuasion

Logikos

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2014
Posts
17,572
Reaction score
27,320
Historia inajirudia na hakuna kipya chini ya jua; Ukiona jambo jipya basi ni Historia ambayo wewe huifahamu. Sasa kuepuka na kuingia mitegoni taweka tu mifano minne ambapo mamlaka ilitumia propaganda kuzima sauti za wadai haki au kuwaondoa wasio na kosa ili kufanikisha malengo yao...

Uhuru na Raila / Ruto na Raila: Raila alikuwa mzee wa Maandamano na kuna kipindi alisema kutakuwa na maandamano kila wiki, watawala walitumia mbinu za kuwashawishi mama mboga na wafanyabiashara kulalamika mpaka kwenye Luninga - ni vipi huyu mzee anawaharibia biashara zao na wao kushindwa kujipatia mkate wao ?

Ruto na Gen - Z: Kwakweli sikuwahi kuona maandamano organized kama ya Gen - Z Kenya vijana wadogo wana bendera ya taifa na maji huku wana simu zao wakirekodi na kumwaga nondo ni vipi Ruto anawakosea, ingawa baadhi walivamia Parliament (na hapo ni baada ya mswada ambao walikuwa wanasema usipite wabunge wakapitisha) Ruto akapitia humo humo jioni yake kwamba wale ni Magaidi na sio waandamanaji wala wadai haki, ingawa picha / video nyingi zilionyesha jambo tofauti, vijana wanadai haki yao bila vurugu Ruto ikabidi apoe na kuomba kukutana nao.... (Ingawa madogo walijua kwa kukutana na Mamlaka ni mwanzo wa watu kupenyezewa Rupia kwenye Udhia) madogo wakakataa

Ruto / Mamlaka (Goons) Vs Gen-Z
Maandamano yaliyofuata kulitokea watu kuchoma vitu na kuiba mali za watu (kuna uthibitisho usio na shaka kwamba hao waliofanya hivyo walikuwa ni mamlaka (wahuni waliolipwa na mamlaka) ili wafanye fujo na kuonyesha Gen-Z ni watu wasio na adabu na waharibu mali za Umma; Kuna video ilishikwa na NTV ya watu wakipanga watu wa kuwaibia simu na kuwapiga wanawake sababu hao kelele zao ndio zitakuwa backlash kubwa, au Sakaja Governor wa Nairobi alipata tuhuma za kupanga ma-goons wafanye fujo;

Magari yalichomwa moto - Roto akaja na Kauli ya Shoot in Leg (ambayo mpaka leo anaitetea); pia Kwenye mitandao kulikuwa na Chat nyingi sana za Occupy State House - Muandamanaji na mtetezi Gwiji (Boniface Mwangi) alisema kuna uthibitisho usio na shaka wengi waliokuwa wanasema hivyo ni vijana waliolipwa na mamlaka ili kuwapa sababu ya kuyavunja maandamano (kwamba sio waandamanaji wadai haki bali ni magaidi wanaotaka kupindua serikali)

USA / CIA na UK Vs Mohamed Mosadeign wa IRAN
Baada ya UK kuona kuna uwezekano wa serikali ya Iran kubinafisha mafuta walifanya kila wanaloweza kwa kushirikiana na wenzao USA ili kuangusha Serikali ya Mosadeign wa Iran na kumpatia nguvu kibaraka wao (Mfalme); mbinu zote zilishindikana; ndio hapo CIA wakapata wazo la kuwapa wahuni wengi pesa ambao walijifanya ni wafuasi wa Mosadeign, kila ijumaa baada ya Kuswali wafuasi hao (Kenge) waliandamana huku wanamsifia Mosadeign na safari yao kumalizikia kwenye maduka ya watu na kufanya looting, wananchi wakachoka na kuanza kulalamika jeshi likashindwa cha kufanya bali kumuondoa Mosadeign.

Moral of the Story
Kwenye hizi sintofahamu za Kenge wengi ni vema kila story ikija kuiangalia mara mbili na kujiuliza inamsaidia nani (Sisi wadai Haki au inajifanya tunasaidiana Kudai Haki lakini mwisho wake inamsaidia Mtawala) - Nimeanza kusikia mengi sijui silaha zinaingizwa; mwingine anasema sehemu za kuchoma n.k. nashindwa kuelewa hawa ni wenzetu au mapandikizi wanaowapa watawala Sababu kwamba walikuwa hawapambani na wenye nchi bali watakia mabaya nchi.... Unadhani hata huyu anayekutetea leo, kesho akiambiwa kibarua chako kimeota mizizi au usafiri hakuna sababu wa wahuni kesho atakutetea (Ingawa anaweza kudhani ni wewe mdai haki ndio umefanya hivyo kumbe ni Mamluki anayekuchafulia Harakati zako)
 
Watu kama ni ni wale wanaotoka mikoa ya kula ulojo ulojo tanga na pemba huko.
Mura mwanamme amezaliwa siku moja na atakufa siku moja.
Acha kutia watu hofu hata kipindi mababu zetu wanapigania uhuru kuna waliopambana huku wengine wakiungana na wakoloni lakin waoga zaidi walikimbilia mafichoni lakni matunda yake walikuwa kufaidi wote hadi wanafiki kama ninyi.
Wote tukiwa na akili kama hizi ndio mwisho wa siku unakaa kimya kwa kusema mwenye nguvu mpishe huku unasahau adui muombee njaa.
Acha kutukatusha tamaa ndugu yangu huweza tuliza mapumbu yako kimya.
 
Na bado upo HAI ajabu sana - nigekuona wa maana sana kama kumwaga damu ndio ujanja ungefanya kama Mohamed Bouazizi kajitie kiberiti (takuunga mkono wala sikukatishi tamaa); By the way umesoma nilichosema ? Ni faida ipi ya uchomaji au uharibifu ukifanya hivyo wewe ni Kenge na unawasaidia watawala bila kujua.
 
Historia inajirudia na hakuna kipya chini ya jua; Ukiona jambo jipya basi ni Historia ambayo wewe huifahamu. Sasa kuepuka na kuingia mitegoni taweka tu mifano minne ambapo mamlaka ilitumia propaganda kuzima sauti za wadai haki au kuwaondoa wasio na kosa ili kufanikisha malengo yao...

Uhuru na Raila / Ruto na Raila: Raila alikuwa mzee wa Maandamano na kuna kipindi alisema kutakuwa na maandamano kila wiki, watawala walitumia mbinu za kuwashawishi mama mboga na wafanyabiashara kulalamika mpaka kwenye Luninga - ni vipi huyu mzee anawaharibia biashara zao na wao kushindwa kujipatia mkate wao ?

Ruto na Gen - Z: Kwakweli sikuwahi kuona maandamano organized kama ya Gen - Z Kenya vijana wadogo wana bendera ya taifa na maji huku wana simu zao wakirekodi na kumwaga nondo ni vipi Ruto anawakosea, ingawa baadhi walivamia Parliament (na hapo ni baada ya mswada ambao walikuwa wanasema usipite wabunge wakapitisha) Ruto akapitia humo humo jioni yake kwamba wale ni Magaidi na sio waandamanaji wala wadai haki, ingawa picha / video nyingi zilionyesha jambo tofauti, vijana wanadai haki yao bila vurugu Ruto ikabidi apoe na kuomba kukutana nao.... (Ingawa madogo walijua kwa kukutana na Mamlaka ni mwanzo wa watu kupenyezewa Rupia kwenye Udhia) madogo wakakataa

Ruto / Mamlaka (Goons) Vs Gen-Z
Maandamano yaliyofuata kulitokea watu kuchoma vitu na kuiba mali za watu (kuna uthibitisho usio na shaka kwamba hao waliofanya hivyo walikuwa ni mamlaka (wahuni waliolipwa na mamlaka) ili wafanye fujo na kuonyesha Gen-Z ni watu wasio na adabu na waharibu mali za Umma; Kuna video ilishikwa na NTV ya watu wakipanga watu wa kuwaibia simu na kuwapiga wanawake sababu hao kelele zao ndio zitakuwa backlash kubwa, au Sakaja Governor wa Nairobi alipata tuhuma za kupanga ma-goons wafanye fujo;

Magari yalichomwa moto - Roto akaja na Kauli ya Shoot in Leg (ambayo mpaka leo anaitetea); pia Kwenye mitandao kulikuwa na Chat nyingi sana za Occupy State House - Muandamanaji na mtetezi Gwiji (Boniface Mwangi) alisema kuna uthibitisho usio na shaka wengi waliokuwa wanasema hivyo ni vijana waliolipwa na mamlaka ili kuwapa sababu ya kuyavunja maandamano (kwamba sio waandamanaji wadai haki bali ni magaidi wanaotaka kupindua serikali)

USA / CIA na UK Vs Mohamed Mosadeign wa IRAN
Baada ya UK kuona kuna uwezekano wa serikali ya Iran kubinafisha mafuta walifanya kila wanaloweza kwa kushirikiana na wenzao USA ili kuangusha Serikali ya Mosadeign wa Iran na kumpatia nguvu kibaraka wao (Mfalme); mbinu zote zilishindikana; ndio hapo CIA wakapata wazo la kuwapa wahuni wengi pesa ambao walijifanya ni wafuasi wa Mosadeign, kila ijumaa baada ya Kuswali wafuasi hao (Kenge) waliandamana huku wanamsifia Mosadeign na safari yao kumalizikia kwenye maduka ya watu na kufanya looting, wananchi wakachoka na kuanza kulalamika jeshi likashindwa cha kufanya bali kumuondoa Mosadeign.

Moral of the Story
Kwenye hizi sintofahamu za Kenge wengi ni vema kila story ikija kuiangalia mara mbili na kujiuliza inamsaidia nani (Sisi wadai Haki au inajifanya tunasaidiana Kudai Haki lakini mwisho wake inamsaidia Mtawala) - Nimeanza kusikia mengi sijui silaha zinaingizwa; mwingine anasema sehemu za kuchoma n.k. nashindwa kuelewa hawa ni wenzetu au mapandikizi wanaowapa watawala Sababu kwamba walikuwa hawapambani na wenye nchi bali watakia mabaya nchi.... Unadhani hata huyu anayekutetea leo, kesho akiambiwa kibarua chako kimeota mizizi au usafiri hakuna sababu wa wahuni kesho atakutetea (Ingawa anaweza kudhani ni wewe mdai haki ndio umefanya hivyo kumbe ni Mamluki anayekuchafulia Harakati zako)
CCM wanachokosea ni kuwatuma vilaza kama nyie mje kuleta cheap propaganda.

Yani mtu mwenye akili timamu akisoma mistari miwili ya uzi wako anajua wewe ni chawa na ni nini motives behind.

Waambie waliokutuma watume watu walio smart enough kueneza cheap propaganda kama za kwako.
 
Looh! Jamaa nilivyoona ID yake ni logikos nikajua kaandika nondo ...nimeishia kupoteza dakika moja ya uhai wangu.
 
CCM wanachokosea ni kuwatuma vilaza kama nyie mje kuleta cheap propaganda.

Yani mtu mwenye akili timamu akisoma mistari miwili ya uzi wako anajua wewe ni chawa na ni nini motives behind.

Waambie waliokutuma watume watu walio smart enough kueneza cheap propaganda kama za kwako.
Ccm hawana akili
 
CCM wanachokosea ni kuwatuma vilaza kama nyie mje kuleta cheap propaganda.
Moja kuna kitengo cha Propaganda kwahio ingawa sikubaliani na watawala wanachofanya kutuma watu wa propaganda ni haki yao na ndicho wanachofanya na watakachofanya mpaka kesho... Ingawa sikubalini na kuendeza uongo kwa kuuvika kama ukweli ; hio ni mbaya sana na mbaya zaidi watu wanawasaidia kufanya hivyo either kwa kutokujua au wakiwa wanajua
Yani mtu mwenye akili timamu akisoma mistari miwili ya uzi wako anajua wewe ni chawa na ni nini motives behind.

Waambie waliokutuma watume watu walio smart enough kueneza cheap propaganda kama za kwako.
Sasa niambie mimi ninayesema tujihidhari na watu wanaosema kutumia silaha au kufanya fujo au kuchoma vitu, au kwamba kuna silaha zinaingia kuhusisha na maandamano ya wadai haki ni nani anatumiwa na watawala (faida ya watawala) - Mimi ninyasema wanaofanya hivyo ni Kenge au wewe unayeona hio ndio mbinu ya ukombozi (kueneza narrative ya holiganism na kudai haki)?

Sababu kuna mawili ambayo ni tofauti kabisa kuingia mtaani na kudai Haki bila kuumiza wenzetu (na kuhakikisha tunapigia kelele kushitakiwa kwa walioumizwa na kuuliwa wawajibishwe) AU kama hio njia haifai kuna njia tofauti kabisa waliyotumia kina Castro na Che Gueverra moja ni tofauti na nyingine na huwezi kufika moja kama nyingine..
 
Historia inajirudia na hakuna kipya chini ya jua; Ukiona jambo jipya basi ni Historia ambayo wewe huifahamu. Sasa kuepuka na kuingia mitegoni taweka tu mifano minne ambapo mamlaka ilitumia propaganda kuzima sauti za wadai haki au kuwaondoa wasio na kosa ili kufanikisha malengo yao...

Uhuru na Raila / Ruto na Raila: Raila alikuwa mzee wa Maandamano na kuna kipindi alisema kutakuwa na maandamano kila wiki, watawala walitumia mbinu za kuwashawishi mama mboga na wafanyabiashara kulalamika mpaka kwenye Luninga - ni vipi huyu mzee anawaharibia biashara zao na wao kushindwa kujipatia mkate wao ?

Ruto na Gen - Z: Kwakweli sikuwahi kuona maandamano organized kama ya Gen - Z Kenya vijana wadogo wana bendera ya taifa na maji huku wana simu zao wakirekodi na kumwaga nondo ni vipi Ruto anawakosea, ingawa baadhi walivamia Parliament (na hapo ni baada ya mswada ambao walikuwa wanasema usipite wabunge wakapitisha) Ruto akapitia humo humo jioni yake kwamba wale ni Magaidi na sio waandamanaji wala wadai haki, ingawa picha / video nyingi zilionyesha jambo tofauti, vijana wanadai haki yao bila vurugu Ruto ikabidi apoe na kuomba kukutana nao.... (Ingawa madogo walijua kwa kukutana na Mamlaka ni mwanzo wa watu kupenyezewa Rupia kwenye Udhia) madogo wakakataa

Ruto / Mamlaka (Goons) Vs Gen-Z
Maandamano yaliyofuata kulitokea watu kuchoma vitu na kuiba mali za watu (kuna uthibitisho usio na shaka kwamba hao waliofanya hivyo walikuwa ni mamlaka (wahuni waliolipwa na mamlaka) ili wafanye fujo na kuonyesha Gen-Z ni watu wasio na adabu na waharibu mali za Umma; Kuna video ilishikwa na NTV ya watu wakipanga watu wa kuwaibia simu na kuwapiga wanawake sababu hao kelele zao ndio zitakuwa backlash kubwa, au Sakaja Governor wa Nairobi alipata tuhuma za kupanga ma-goons wafanye fujo;

Magari yalichomwa moto - Roto akaja na Kauli ya Shoot in Leg (ambayo mpaka leo anaitetea); pia Kwenye mitandao kulikuwa na Chat nyingi sana za Occupy State House - Muandamanaji na mtetezi Gwiji (Boniface Mwangi) alisema kuna uthibitisho usio na shaka wengi waliokuwa wanasema hivyo ni vijana waliolipwa na mamlaka ili kuwapa sababu ya kuyavunja maandamano (kwamba sio waandamanaji wadai haki bali ni magaidi wanaotaka kupindua serikali)

USA / CIA na UK Vs Mohamed Mosadeign wa IRAN
Baada ya UK kuona kuna uwezekano wa serikali ya Iran kubinafisha mafuta walifanya kila wanaloweza kwa kushirikiana na wenzao USA ili kuangusha Serikali ya Mosadeign wa Iran na kumpatia nguvu kibaraka wao (Mfalme); mbinu zote zilishindikana; ndio hapo CIA wakapata wazo la kuwapa wahuni wengi pesa ambao walijifanya ni wafuasi wa Mosadeign, kila ijumaa baada ya Kuswali wafuasi hao (Kenge) waliandamana huku wanamsifia Mosadeign na safari yao kumalizikia kwenye maduka ya watu na kufanya looting, wananchi wakachoka na kuanza kulalamika jeshi likashindwa cha kufanya bali kumuondoa Mosadeign.

Moral of the Story
Kwenye hizi sintofahamu za Kenge wengi ni vema kila story ikija kuiangalia mara mbili na kujiuliza inamsaidia nani (Sisi wadai Haki au inajifanya tunasaidiana Kudai Haki lakini mwisho wake inamsaidia Mtawala) - Nimeanza kusikia mengi sijui silaha zinaingizwa; mwingine anasema sehemu za kuchoma n.k. nashindwa kuelewa hawa ni wenzetu au mapandikizi wanaowapa watawala Sababu kwamba walikuwa hawapambani na wenye nchi bali watakia mabaya nchi.... Unadhani hata huyu anayekutetea leo, kesho akiambiwa kibarua chako kimeota mizizi au usafiri hakuna sababu wa wahuni kesho atakutetea (Ingawa anaweza kudhani ni wewe mdai haki ndio umefanya hivyo kumbe ni Mamluki anayekuchafulia Harakati zako)
Funga duka,hatununui uoga kwa sasa
 
Na bado upo HAI ajabu sana - nigekuona wa maana sana kama kumwaga damu ndio ujanja ungefanya kama Mohamed Bouazizi kajitie kiberiti (takuunga mkono wala sikukatishi tamaa); By the way umesoma nilichosema ? Ni faida ipi ya uchomaji au uharibifu ukifanya hivyo wewe ni Kenge na unawasaidia watawala bila kujua.
Hivi akina mandela na wenzie wa anc yout wing wangekuwa na porojo kama zako sa ingekuwa na uhuru kweli?

Si walikuwa wanawindwa hadi wakaitwa magaidi , wakakimbilia tanzania

Kasome tena history, gharama ya kudai kitu sikuzote ni kubwa
 
CCM wanachokosea ni kuwatuma vilaza kama nyie mje kuleta cheap propaganda.

Yani mtu mwenye akili timamu akisoma mistari miwili ya uzi wako anajua wewe ni chawa na ni nini motives behind.

Waambie waliokutuma watume watu walio smart enough kueneza cheap propaganda kama za kwako.
Na CCM ina wanachama wengi sana wenye akili sana, tatizo ni siasa za sasa haziwataki, zimetawaliwa na chawa na vilaza.
 
Usemalo kweli.
Mfano Kuna mdau humu alileta thread anashawishi watu wavuruge watalii Arusha eti waizia watalii mataifa ya nje watawaia juu serikali ya Tanzania.
Hili ni wazo la hovyo na hatari. Tutakosa kuungwa mkono na Jumuiya za kimataifa na kutangazwa kikundi cha mghaidi. Tusikubali mambo haya.
 
Hivi akina mandela na wenzie wa anc yout wing wangekuwa na porojo kama zako sa ingekuwa na uhuru kweli?
Mandela alifanya nini aliongea lugha za kuwanufaisha Makaburu ? alikuwa anakuja na mabandiko kwamba tunachoma hapa na pale au kuna silaha zinakuja huku na kule ili kusaidia mashambulizi yetu ?
Si walikuwa wanawindwa hadi wakaitwa magaidi , wakakimbilia tanzania
Kasome tena history, gharama ya kudai kitu sikuzote ni kubwa
Na hizo zilikuwa Propaganda ila zilitoka kwa Makaburu na sio wenzake Mandela (kujipiga risasi ya mguu)...
 
Mandela alifanya nini aliongea lugha za kuwanufaisha Makaburu ? alikuwa anakuja na mabandiko kwamba tunachoma hapa na pale au kuna silaha zinakuja huku na kule ili kusaidia mashambulizi yetu ?

Na hizo zilikuwa Propaganda ila zilitoka kwa Makaburu na sio wenzake Mandela (kujipiga risasi ya mguu)...
Paragraph yakwanza yes walichoma
uMkhonto we Sizwe (MK) ambayo it way wing ya ANC, walichoma majengo ya serikali, assets za kaburu mara kibao sana

Na kiongoz wao wakati huo akiwa neslon mandela mwenyewr, kiongoz wa kwanza kabisa wa MK

Baada ya kuwekwa exile , uongozi huo akachukua walter sisulu na govani mbeki.
 
Kwahio unaona kuchoma ndio nyenzo ya kupata kinachotakiwa hapa kwetu sasa hivi - Pia tofautisha maandamo na Guerrilla Warfare ni vitu viwili tofauti kabisa wala sijasema hio haifai ndio waliyotumia kina Castro na Che, ndio aliyotumia Museveni ndio aliyotumia Kagame - Sasa kubadilisha haya maandamo ya raia wadai haku na kuyavika face of vita ni kucheza karata za watawala
Na kiongoz wao wakati huo akiwa neslon mandela mwenyewr, kiongoz wa kwanza kabisa wa MK

Baada ya kuwekwa exile , uongozi huo akachukua walter sisulu na govani mbeki.
Kwahio unaona kabisa kuna correlation ya hawa madogo waliopigwa risasi ya vichwa majumbani kwao na wengine wakienda kufuata vitu dukani na paramilitary group ?!!!! Au ndio unacheza karata za watawala kwamba tumeshika na mabomu ya watu wanatoka nje ya nchi au Kontena la Silaha aliloshika Mahita (eti CUT wameliagiza) ?

Again nakwambia kila narration unayosikia angalia sana inamnufaisha nani hata kama inakupendeza kwa sasa huenda ni a Poisoned Chalice
 
Usemalo kweli.
Mfano Kuna mdau humu alileta thread anashawishi watu wavuruge watalii Arusha eti waizia watalii mataifa ya nje watawaia juu serikali ya Tanzania.
Hili ni wazo la hovyo na hatari. Tutakosa kuungwa mkono na Jumuiya za kimataifa na kutangazwa kikundi cha mghaidi. Tusikubali mambo haya.
Achana tu na mataifa ya nje tutakoswa kuungwa mkono na hata jirani yako au hata ndugu zetu wenyewe (vita vya kaka na mdogo mtu) divide and rule wakati watawala wanaendelea kula keki na mmeshawapa sababu ya kwamba hawa sio wadai haki bali ni wahuni.....;

By the way hata hizo paramilitaries na militias huwa ni kwamba ni kundi fulani linaeleweka hata kina Castro na Che ni kwamba walikuwepo msituni wanaingia ndani; kina Museveni, Kagame n.k. ; Kuanza kuhusisha moja kwa moja ndugu zetu tuliowapoteza kwa kudai Haki na wengine kupigwa stray bullets na watawala kwamba walikuwa kwenye hili kundi la arsonists na waharibu sio kuwatendea Haki kabisa (na unakuta anayesema sio kwamba anaongea kutoka kuzima au mguu umepigwa risasi) bali ni mzima bu-kheri wa afya
 
Ujinga wa watetezi kama nyinyi ni kujikita eneo dogo la wandamanaji kuleta vurugu na kujikita kwenye kiini cha kilichopelekea mpaka kuingia kwenye maandamano

1.Watu wanatekwa na kupotezwa
2.Ufisadi na matumizi mabaya ya mali za Umma
3.Uchaguzi usio huru/ kupora uchaguzi
4.Wapinzani kubambikizwa Kesi
5.Ukiukwaji wa Katiba

Na mengine mengi, ni mambo yaliyopigiwa kelele na wananchi kwa muda mrefu sana
 
Nachofurahi kwa sasa ule upuuzi wa kuwaita watanganyika keyboard warriors haupo tangu tarehe 29 October .
 
Ujinga wa watetezi kama nyinyi ni kujikita eneo dogo la wandamanaji kuleta vurugu na kujikita kwenye kiini cha kilichopelekea mpaka kuingia kwenye maandamano
Ngoja niweke nilichosema na wewe unachosema tuone nani atakuwa mjinga hapa : Specifically kabisa nimetenga wanaoandamana na waliopigwa risasi waliokuwa majumbani na waliochoma moto kwa kuwatenga kwamba sio kitu kimoja - Nimekwenda mbali zaidi kuleta mifano ambayo ilishatumikwa kwa watawala kufanya hayo maovu ili kuwapaka rangi mbaya na kuwachafua wadai haki kwamba hawadai haki ndio wachafuzi (Hio ndio Summary ya nilichosema)
1.Watu wanatekwa na kupotezwa
2.Ufisadi na matumizi mabaya ya mali za Umma
3.Uchaguzi usio huru/ kupora uchaguzi
4.Wapinzani kubambikizwa Kesi
5.Ukiukwaji wa Katiba

Na mengine mengi, ni mambo yaliyopigiwa kelele na wananchi kwa muda mrefu sana
Sasa hayo yanahusiana vipi na waliochoma moto na mambo mengine ? Je moja ni sawa na lingine (utaona kwamba hapana) ingawa Serikali / Watawala wanataka waseme hilo moja ni sawa na lingine - Hivyo yoyote anayeunganisha hilo moja na lingine huenda ni Kenge kwenye msafara wa mamba...
 
Back
Top Bottom