Tujihadhari na yaliomkuta Patrick Mafisango

 
Mmmmmmh_inasadikiwa Yesu alikufa akiwa na age ya 33 tu,...hope shetani hausiki hapa..na watoto wadogo je?...hapa kuna harufu ya upotoshaji wa kilokole kama kawaida yake,...ila nimeipenda sana the whole thread...inafundisha...anyway r.i.p young nigga.



ni kweli Yesu alikufa akiwa na huo umri ulioandikwa, na kumbuka kifo cha yesu kilikuwa ni cha kuuawa, na walio mwua walikuwa wapenda shetani kama si shetani- hakuna upotoshaji hapo
 
Ni kweli tumekuwa tukipenda kusimulia stori nzuri tu zinazo mhusu marehemu...... Hapa kaka sijui dada nakupa pongezi kwa kuweza kufunguka...... Hii kitu nilisha anza kupata hofu toka mapema kwani hata waliokuwa wakitoa taarifa walikuwa wanaruka ruka tu yaani hawaeleweki wanachokizungumza...... Tukumbushane tu hii fan jamaa zetu wamekuwa wakijisahau sana wanapo pata vijisenti. Hupenda kufanya anasa ikiwa ni pamoja na kutembea na wake za watu........ Ukumbuke mtu anaposikitika juu ya baya ulilomfanyia kwako ni laana...... Tukumbuke pia kila mtu anapenda mafanikio, ila unapo yabadilisha katika matumizi na kuwa ni karaha kwa wenzio ndipo unapo poteza baraka na mafanikio kwa ujumla..... Mungu atsidie tulio baki tuwe na adabu.....
 
DONT BE STUPID, YESU had a mission, and dont ever compare him WITH THIS, HE HAD A MISSION THAT WE SURVIVE AND HAVE ETERNAL LIFE, HE HAS TO DIE, BUT THEN HE RAISED AGAIN, COMMENT YA JAMAA IS VERY FAIR ...

Mmmmmmh_inasadikiwa Yesu alikufa akiwa na age ya 33 tu,...hope shetani hausiki hapa..na watoto wadogo je?...hapa kuna harufu ya upotoshaji wa kilokole kama kawaida yake,...ila nimeipenda sana the whole thread...inafundisha...anyway r.i.p young nigga.
 
Mmmmmmh_inasadikiwa Yesu alikufa akiwa na age ya 33 tu,...hope shetani hausiki hapa..na watoto wadogo je?...hapa kuna harufu ya upotoshaji wa kilokole kama kawaida yake,...ila nimeipenda sana the whole thread...inafundisha...anyway r.i.p young nigga.

Mkuu miaka sabini ni kwa wanadamu kumbuka Yesu ni MUNGU si binadamu kama wewe na mimi na anaishi milele alishinda mauti utake usitake.
 
Wabongo wengi wanatabia ya kusikiliza ushauri wakati wa tukio but baada ya muda husahau kila kitu thanks kwa kuwakumbusha mweye sikio asikie! RIP PATRIC MAFISANGO!
 
mi nadhan ujumbe umewafikia ukibisha ujue una lako jambo
 
Umeniogopesha kwenda kupiga tungi leo. Ngoja nitulie kwangu nitafakari haya maisha.
 
Tanzania tuna tatizo kubwa kupita maelezo la watu kuendesha gari wakiwa wamelewa. Sijui itafanyika campaign ya aina gani lakini ukweli tuna tatizo kubwa. Ukipita kwenye bar nyingi siku za weekend, magari ni mengi, watu wanakunywa na baadae wanashika usukani!

Inawezekana askari asikukamate lakini kubwa ni hii hatari ya kupata ajali na kuacha familia/watoto yatima. This is where kila mtu anatakiwa aanze kufikiria kwa makini. Pombe na usukani Vs family. Kama mtu unakunywa pombe na marafiki zako, kwa nini msichange na kuchukua taxi? Mafisango RIP.
 
Mshahara wa dhambi ni mauti
ukimpenda MUNGU naye atakupenda zaidi
zawadi yako ni maisha marefu na yenye amani duniani na mbinguni
(OMBA KIFO CHEMA
 
wasiopenda kuona ukweli ukitawala watakupinga mkuu ila huu ujumbe hapa ni mahala pake na umeuleta wakati muafaka.utawasaidie wengine kujiepusha na tabia zinazokatiza maisha yao mapema

kufa ukiwa umelewa noma!!!
Mungu atusamehe dhambi zetu atujalie kifo chema
 
Toa upuuzi wako hapa!!.
kweli mnazareti alipigwa kama mwizi ili mi nawe tuweze kupona,nashukuru umekiri kwamba alipigwa akafa akafufuka mashetwani wenzio hawakubali hii niko tayari kwa ban for Jesus‘s sake,the begotten son.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…