Hahahaha sio faiza foxHiyo email nilitomiwa miaka kadhaa imepita lakini aliyetuma alijitambulisha kama Miss Victoria Weah...Niliwasiliana na mtandao wao mara kadhaa kwa email na simu...Walinipa orodha eti ya meneja na wafanyakazi wengine wa Royal Bank huko Uingereza niwasiliane nao. Nikagoogle bank hiyo na kucheki kama ktk Staff kuna vinyago hivyo nikaona havifahamiki. Pia niligoogle ile email niliyotumiwa nikagundua ipo email kama ile walitumiwa watu kabla miaka iliyopita. Nilifatilia jina lile (Victoria Weah) ktk fb nikagundua jina lile lina mahusiano na member fulani wa JF...
View attachment 439549
Anakuomba hela.au acc ya benk.hapo kuna mawili anaweza akakushawishi mpaka umpe password. Alaf anaziamisha za kwako.Ukimjibu inakuaje sasa
Eeeh hata mimi tena alisema pastor wake ndo Ali msidia na kumlea na hata simu anatumia ya huyo pastor kama hayupoNiliwahi kutumiwa hiyo email toka kwa huyu Jennifer, aliniambi yuko Senegal kwenye kambi ya wakimbizi yuko na Pastor, akanipa mpaka namba za Pastor.
Sikumjibu chochote.
Bahatiyakoo[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] !!!Duh kitambo sana kipindi ndo nimefungua ka-email yahoo 2011 akatokea mtoto wa kujiita Stella Maziba from refugee camp in senegal na mapicha kibao , tulienda sambamba mpaka alipotaka nimtumie hela ndo issue ikazingua coz ckua na hela kipindi hicho, ila ningekua nazo nahisi ningepigwa.
Ikaja tena 2016 wengine wanajiita samsung-sony wananambia nimeshinda 5000000 USD kwenye draw ya Rio Olympic , wananipigia cm eti wametuma mtu wao yupo Kilimanjaro nimtumie 400USD anitumie mzigo wangu Dar, pumbavu sana sasa hel ya kutuma si wakate kwenye hiyo zawadi.. sipendagi ujinga mimi, siliwi kizembe