Tujihadhari na huu utapeli kupitia e mails zetu

Tujihadhari na huu utapeli kupitia e mails zetu

client

JF-Expert Member
Joined
Dec 13, 2015
Posts
671
Reaction score
883
Hello My Dear,
I thank you for your mail.The issue at hand now is very urgent and important that is why I decided to send you this mail,I am looking for a reliable and sincere person that can help me invest the wealth I inherited from my late father who was killed during the war in my country Liberia.

I am 24 years old girl and my name is Miss Jeniffer from the Republic of Liberia.I am taking refugee in a neighboring country for the safety of my life here in the Republic Of Senegal,I don’t have anybody here to rely on because I don’t trust my late father’s relatives as they did not like him when he was alive.I escape an attempt of kidnaping and that is why I ran away.Now I would like to come to your country to continue my education while you help me invest the fund in a lucrative business and manage it for me until I am capable of handling it myself.

The fund in question is at the tone of US $9.7 million deposited in a bank.I will offer you 40% of the total sum for your help to get it transferred to your account in your country and bringing me there.There in your country when the fund shall be invested,you shall have 10% of the interest which the investment shall bring as the profit.I really do need your help,so if you can assist do let me know.I will give you further details when I receive a positive response from you.Please do not disclose this issue to any other person until the money is transferred,

Below is a copy of my picture that i took before coming into this refugee camp,i have never taking picture here in the camp because the camp authority forbid the Refugees from taking pictures in the camp,

Yours sincerely Jeniffer.
 
Huu utapeli uliaanza siku nyingi sana mkuu... Watu walishapigwa kwa kukurupuka... For any sweet deal watch it with your four eyes
 
Niliwahi kutumiwa hiyo email toka kwa huyu Jennifer, aliniambi yuko Senegal kwenye kambi ya wakimbizi yuko na Pastor, akanipa mpaka namba za Pastor.
Sikumjibu chochote.
 
Duh kitambo sana kipindi ndo nimefungua ka-email yahoo 2011 akatokea mtoto wa kujiita Stella Maziba from refugee camp in senegal na mapicha kibao , tulienda sambamba mpaka alipotaka nimtumie hela ndo issue ikazingua coz ckua na hela kipindi hicho, ila ningekua nazo nahisi ningepigwa.
Ikaja tena 2016 wengine wanajiita samsung-sony wananambia nimeshinda 5000000 USD kwenye draw ya Rio Olympic , wananipigia cm eti wametuma mtu wao yupo Kilimanjaro nimtumie 400USD anitumie mzigo wangu Dar, pumbavu sana sasa hel ya kutuma si wakate kwenye hiyo zawadi.. sipendagi ujinga mimi, siliwi kizembe
 
Hizo email za namna hiyo nimepokea zaidi ya 10 na ni waongo watupu. Ukipokea email kama hiyo potezea tu.
 
Duuu ktmbo sana nakumbuka email ya kwanza niliipata kutoka huko senegal hdi nilitaman kulia hdi nkamwambia na bi mkubwa akakubar aje lakn ngastuka pale eti nmtumie hela looh
 
Hiyo email nilitomiwa miaka kadhaa imepita lakini aliyetuma alijitambulisha kama Miss Victoria Weah...Niliwasiliana na mtandao wao mara kadhaa kwa email na simu...Walinipa orodha eti ya meneja na wafanyakazi wengine wa Royal Bank huko Uingereza niwasiliane nao. Nikagoogle bank hiyo na kucheki kama ktk Staff kuna vinyago hivyo nikaona havifahamiki. Pia niligoogle ile email niliyotumiwa nikagundua ipo email kama ile walitumiwa watu kabla miaka iliyopita. Nilifatilia jina lile (Victoria Weah) ktk fb nikagundua jina lile lina mahusiano na member fulani wa JF...
upload_2016-11-25_22-39-39.png
 
View attachment 439549
Hahahaha sio faiza fox
 
Huyu alikuwa anaitwa precious .aliniambia ameachiwa urithi na wazazi wake.akataka acc yangu.anitumie hela.nimfanyie mpango aje tuishi wote
 
Niliwahi kutumiwa hiyo email toka kwa huyu Jennifer, aliniambi yuko Senegal kwenye kambi ya wakimbizi yuko na Pastor, akanipa mpaka namba za Pastor.
Sikumjibu chochote.
Eeeh hata mimi tena alisema pastor wake ndo Ali msidia na kumlea na hata simu anatumia ya huyo pastor kama hayupo
 
Duh kitambo sana kipindi ndo nimefungua ka-email yahoo 2011 akatokea mtoto wa kujiita Stella Maziba from refugee camp in senegal na mapicha kibao , tulienda sambamba mpaka alipotaka nimtumie hela ndo issue ikazingua coz ckua na hela kipindi hicho, ila ningekua nazo nahisi ningepigwa.
Ikaja tena 2016 wengine wanajiita samsung-sony wananambia nimeshinda 5000000 USD kwenye draw ya Rio Olympic , wananipigia cm eti wametuma mtu wao yupo Kilimanjaro nimtumie 400USD anitumie mzigo wangu Dar, pumbavu sana sasa hel ya kutuma si wakate kwenye hiyo zawadi.. sipendagi ujinga mimi, siliwi kizembe
Bahatiyakoo !!!
 
Mvivu wa kufikiri ndo huliwa,mtu utadanganywa vipi yupo na pastor wake then kavaa robo 3 uchi!
 
Utapeli wa kizamani kabisa manake nakumbuka kupata email ya kwanza ya namna hiyo ni back 2003 ingawaje walikuja na gia za kuwa na conference! Internet zenyewe wakati ule hatujakuwa familiar nazo, nadhani ningekuwa mtu mwenye pesa; kipindi kile wangeniibia!!!
 
Ghana, Nigeria & Tanzania wanasifika kwa utapeli wa namna hiyo ... Hata hapa JF wapo na wanajulikana vyema kwa mienendo na tabia zao.
 
Back
Top Bottom