Bless up mkuu nitamtafutakama uko interested na hizi mambo unaweza kucheki youtube channel ya Richstar huyu jamaa yupo vizuri anafundisha kwa kiswahili binafsi kanifundisha mambo mengi sana kwenye maswala ya graphics designing,video editing ,kuedit picha kwa kutumia adobe photoshop n.k
nyoko ndio nini mkuuKuna jamaa.yangu wa Adams Digicom ni nyoko kwenye hayo Mambo
poa mkuuBless up mkuu nitamtafuta
Kk Hi. Nina utaalam wa kupiga picha na kwa ss najishugulisha na picha za pasport size. Msaada wgu. Je nataka kuprint mm mwenyewe. Prenter ipi iliyo rahisi kutumia na kwa bei pia upatikanaji wa ink zake
Sent using
kuna printers za Epson zinaprint photo had A4 na PPS si chini.ya 900000
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu ni kuanzia pesa kiasi gani naweza kupata camera nzuri?
kwa mujibu wa hiyo picha yako nmeona umfake nywele hadi zmeonekana si halisi pia katika retouch ni muhinu sana kumaintain skin texture lakin ww umefuta hyo alama ya ndui begani, so kwa ulichokifanya haifai kuweka before and after kwa sabab ya hzo tofauti za wazi zinazonekana,
though nmependa dodge and burn yako,Bravoo
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi Nina Adobe Photoshop cs2 Ila Ni ngumu Sana .nimejifunza kwa YouTube tuitorials Lakini wapi.Nina usongo na background eraser .nimeanza kujua Ila Bado Sana.
Mkuu unapatikana wapi?, ningependa kujua kama una studio au unafanya training. Nafanya photography ila sipo deep sana though sio beginner.
Sent using Jamii Forums mobile app
ninapotumia spot blush kuondoa chunusi , kuna rangi nyeusi inakuwa unabaki kwenye uso.
tatizo ni nini naomba msaada
Sent using Jamii Forums mobile app