Tujifunze kujali

aiseeeeeeeee wazungu wana upendo sana na wanyama

kisha wanaanzisha vita africa tuuane, magonjwa na vurugu za mauaji kibao middle east....hawana upendo wowote unless you are naive
 
kisha wanaanzisha vita africa tuuane, magonjwa na vurugu za mauaji kibao middle east....hawana upendo wowote unless you are naive

nilitaka kusema hilohilo.
Wanajifanya wana upendo na kujali kinafik.
Wanawapumbaza WATU wasiowajua kupitia vyombo vyao vya Habari.

Wanaongoza kwa kuua waafrika na wanadamu wengine kwa maradhi, vita na dhulma nyingine kibao.

Hao ni mbwamwitu wenye ngozi ya kondoo, watu hatari sana katika ardhi hii.
 
Maneno na picha hizi ziwafikie CCM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…