UKO VIZURI HAKIKA UMEWEZA KUFAFANUA VEMAKuna kitu kidogo hapo. Kuna kitu kinaitwa PSYCHOLOGICAL PRICING kwa sisi tuliosomea kozi moja mbili za Marketing hiyo ni mojawapo ya pricing techniques.
Kwenye biashara ya mzee ya matikiti...kijana amekwenda na idea ya kumkomoa mzee lakini amejikomoa mwenyewe. Bei ya tikiti ni 3,000 ina maana anayenunua matatu anatakiwa alipe 9,000/- tu. Ila psychology aliyoiweka mzee ni kuwa ukinunua matatu ulipe elfu 10. Lengo ni nini? Ili wewe uone kuwa unafaidi, badala ya moja utanunua moja moja mara 3 na kulipa elfu 9 ukidhani umesave 1000 ila kimsingi mzee kauze large quantity kwa bei ile ile inayotakiwa...
Premium pricing is a strategy that involves tactically pricing your company’s product higher than your immediate competitors. But why so? The purpose is to cultivate a sense in the market of your product being just that bit HIGHER IN QUALITY than the rest. It works best alongside a coordinated marketing strategy designed to enhance that perception...
Mkuu una masters ya Business Management au ts just street smart!?!?!? Umetoa jibu ambalo ni the best ever.Kuna kitu kidogo hapo. Kuna kitu kinaitwa PSYCHOLOGICAL PRICING kwa sisi tuliosomea kozi moja mbili za Marketing hiyo ni mojawapo ya pricing techniques.
Kwenye biashara ya mzee ya matikiti, kijana amekwenda na idea ya kumkomoa mzee lakini amejikomoa mwenyewe. Bei ya tikiti ni 3,000 ina maana anayenunua matatu anatakiwa alipe 9,000/- tu. Ila psychology aliyoiweka mzee ni kuwa ukinunua matatu ulipe elfu 10. Lengo ni nini? Ili wewe uone kuwa unafaidi, badala ya moja utanunua moja moja mara 3 na kulipa elfu 9 ukidhani umesave 1000 ila kimsingi mzee kauze large quantity kwa bei ile ile inayotakiwa.
Hii psychological pricing ndio ile unaambiwa simu inauzwa 299,999 hehehehe hiyo ni laki 3 jombaa. Ila unaitamkaje?
Tuje kwenye magari. Kuna kitu kinaitwa PREMIUM PRICING.
In simple words maana yake ni charging more for your products than your immediate competitors. Let me explain it in English nadhani ndio utanielewa zaidi. Kimalkia kina raha yake banah.
Premium pricing is a strategy that involves tactically pricing your company’s product higher than your immediate competitors. But why so? The purpose is to cultivate a sense in the market of your product being just that bit HIGHER IN QUALITY than the rest. It works best alongside a coordinated marketing strategy designed to enhance that perception.
Yep, lengo ni kuwajengea imani wateja kuwa bidhaa yako ndio bora zaidi na hivyo inastahili bei hiyo. Na uzuri wa technique hii ni kuwa kuna wateja wake maalum wa vitu vya bei mbaya, sababu they believe in quality. Yaani umuambie anunue bidhaa za Mohamed (code) akuelewi kabisa, ndio maana akitaka energy drink ataulizia Redbull. Ndio maana kuna whitedent na colgate, colgate ni ghali ila bado inauza. Above them kuna Sensodyne (not sure kama nimeandika vizuri Sensodyne). Ndio maana kuna Toyota na BMW.
Faida ya premium pricing ni kuwa (a)inafanya kampuni ipate faida kubwa sana. Hata mkiuza chache mtapiga hela ndefu sababu kuna margin kubwa.
b) Inaongeza brand value na perception nzuri ya kampuni yako kwa wateja.
Ubaya ni kwamba technique hii si nzuri kwa mass market. Yaani si kila mtu atamudu so kunakuwa na low sales volume.
Ila jamaa hapo juu nimemuelewa vyema zaidiHapo kwa mzee amepwaya hiyo psychology ya kuuza ila hawafanyi hivyo.
Ni inakuwa kama mfano moja 3000, basi matatu 8000 | hapo ndipo ilipo pyschological convincing ya mteja kiona nita save 100 nikichukua matatu ila kwa mfano ulioweka mzee hakuna anayefanya hivyo umeufosi.
Hahaha... wapo wengi wanaofanya hivyo mkuu, pita madukani utaona. Here is the thing though, huwezi kuona kama huna jicho la Kibiashara. Lengo la mzee ni kukufanya uone unamkomoa yeye wakati ni yeye ndiye ameku-fosi ununue bidhaa nyingi zaidi badala ya moja!!!Hapo kwa mzee amepwaya hiyo psychology ya kuuza ila hawafanyi hivyo.
Ni inakuwa kama mfano moja 3000, basi matatu 8000 | hapo ndipo ilipo pyschological convincing ya mteja kiona nita save 100 nikichukua matatu ila kwa mfano ulioweka mzee hakuna anayefanya hivyo umeufosi.
Brilliant! Ivi nyie watu kwanini hamteuliwi kuwa mawaziri wa biashara?!! (*Najaribu kuwaza kwa sauti ni nini kingetokea kama watu ambao wako smart kama hivi wangekuwa kwenye system.)Nilikuwaga na duka la nguo Dodoma nilicho kuwa nakifanya nikienda kufunga mzigo let say jins 50 basi nazigawa nusu kwa nusu harafu nazipa bei tofaut kundi la kwanza nitaziuza bei nusu ya elf 25 na kuziita copy na kundi la nitaziuza 45 na kuziita original hivyo mteja ataangalia quality yake na kuchagua inayo mfaa
Masters? Sijui kama nitasoma masters....sijui. Degree yangu moja tu.Mkuu una masters ya Business Management au ts just street smart!?!?!? Umetoa jibu ambalo ni the best ever.
La pili umeeleza vizuri lakini la kwanza sidhani. pyschological pricing ni ile inayokufanya uamini kuwa unanunua kitu kwa bei rahisi kumbe hakuna unafuu mkubwa. Mfano uliotoa wa bei ya 100,000 kuandikwa kama 299,999 hiyo ndiyo psychological pricing. Ila kwenye huo mfano wa tikiti kwangu hai-make sense kwenye psychological pricing. Hii ya tikiti nadhani maelezo yake yangekuwa ukinunua moja unalipa 3000 na ukinunua matatu unalipa 8000. Hiyo ndiyo itafanya watu wanunue kwa sababu ya punguzo la elfu.Kuna kitu kidogo hapo. Kuna kitu kinaitwa PSYCHOLOGICAL PRICING kwa sisi tuliosomea kozi moja mbili za Marketing hiyo ni mojawapo ya pricing techniques.
Kwenye biashara ya mzee ya matikiti, kijana amekwenda na idea ya kumkomoa mzee lakini amejikomoa mwenyewe. Bei ya tikiti ni 3,000 ina maana anayenunua matatu anatakiwa alipe 9,000/- tu. Ila psychology aliyoiweka mzee ni kuwa ukinunua matatu ulipe elfu 10. Lengo ni nini? Ili wewe uone kuwa unafaidi, badala ya moja utanunua moja moja mara 3 na kulipa elfu 9 ukidhani umesave 1000 ila kimsingi mzee kauze large quantity kwa bei ile ile inayotakiwa.
Hii psychological pricing ndio ile unaambiwa simu inauzwa 299,999 hehehehe hiyo ni laki 3 jombaa. Ila unaitamkaje?
Tuje kwenye magari. Kuna kitu kinaitwa PREMIUM PRICING.
In simple words maana yake ni charging more for your products than your immediate competitors. Let me explain it in English nadhani ndio utanielewa zaidi. Kimalkia kina raha yake banah.
Premium pricing is a strategy that involves tactically pricing your company’s product higher than your immediate competitors. But why so? The purpose is to cultivate a sense in the market of your product being just that bit HIGHER IN QUALITY than the rest. It works best alongside a coordinated marketing strategy designed to enhance that perception.
Yep, lengo ni kuwajengea imani wateja kuwa bidhaa yako ndio bora zaidi na hivyo inastahili bei hiyo. Na uzuri wa technique hii ni kuwa kuna wateja wake maalum wa vitu vya bei mbaya, sababu they believe in quality. Yaani umuambie anunue bidhaa za Mohamed (code) akuelewi kabisa, ndio maana akitaka energy drink ataulizia Redbull. Ndio maana kuna whitedent na colgate, colgate ni ghali ila bado inauza. Above them kuna Sensodyne (not sure kama nimeandika vizuri Sensodyne). Ndio maana kuna Toyota na BMW.
Faida ya premium pricing ni kuwa (a)inafanya kampuni ipate faida kubwa sana. Hata mkiuza chache mtapiga hela ndefu sababu kuna margin kubwa.
b) Inaongeza brand value na perception nzuri ya kampuni yako kwa wateja.
Ubaya ni kwamba technique hii si nzuri kwa mass market. Yaani si kila mtu atamudu so kunakuwa na low sales volume.
Sales is an art mjombaa. Na katika sanaa hakuna mbinu moja ya kucreate psychology ya wateja. Katika kuuza kila mtu ana usanii wake wa kuihadhiri hadhira yake ili lengo lake litimie. Hivi unadhani kwanini mzee kaongeza bei?La pili umeeleza vizuri lakini la kwanza sidhani. pyschological pricing ni ile inayokufanya uamini kuwa unanunua kitu kwa bei rahisi kumbe hakuna unafuu mkubwa. Mfano uliotoa wa bei ya 100,000 kuandikwa kama 299,999 hiyo ndiyo psychological pricing. Ila kwenye huo mfano wa tikiti kwangu hai-make sense kwenye psychological pricing. Hii ya tikiti nadhani maelezo yake yangekuwa ukinunua moja unalipa 3000 na ukinunua matatu unalipa 8000. Hiyo ndiyo itafanya watu wanunue kwa sababu ya punguzo la elfu.
Ni kweli lakini kwa mfano wa tikiti mhh.. outcome yake inaweza kuwa negative.Sales is an art mjombaa. Na katika sanaa hakuna mbinu moja ya kucreate psychology ya wateja. Katika kuuza kila mtu ana usanii wake wa kuihadhiri hadhira yake ili lengo lake litimie. Hivi unadhani kwanini mzee kaongeza bei?
Sales sio science kusema kwamba 2x2 jibu ni 4 au ukichanganya acid na base unapata chumvi na maji.
Hiyo unayosema wewe ni discount kabisa....nayo ni technique mojawapo.
Mzee kaweka hivo ili watu kama nyie mfanye kama huyo kijana alienunua kumkomoa muuzajiLa pili umeeleza vizuri lakini la kwanza sidhani. pyschological pricing ni ile inayokufanya uamini kuwa unanunua kitu kwa bei rahisi kumbe hakuna unafuu mkubwa. Mfano uliotoa wa bei ya 100,000 kuandikwa kama 299,999 hiyo ndiyo psychological pricing. Ila kwenye huo mfano wa tikiti kwangu hai-make sense kwenye psychological pricing. Hii ya tikiti nadhani maelezo yake yangekuwa ukinunua moja unalipa 3000 na ukinunua matatu unalipa 8000. Hiyo ndiyo itafanya watu wanunue kwa sababu ya punguzo la elfu.
Are you jerking my bobber son? Sipo kabisa. Na sidhani kuna mtu, dunia ya leo anayenunua bidhaa kwa kumkomoa muuzaji. Watu wanafuata unafuu na quality na siyo kukomoa. Hiyo trick itakuwa na negative outcome kwa muuzaji!Mzee kaweka hivo ili watu kama nyie mfanye kama huyo kijana alienunua kumkomoa muuzaji
Kumbe yeye anajua watu mtajifanya wajanja kwa kwenda mara 3 na kununua tikiti moj moja ili kumkomoa
Kumbe yeye tayari anakuwa ameuza tikiti tatu badala ya moja
Upo?
Hata mimi ndio niliwaza kama wewe.Hapo kwa mzee amepwaya hiyo psychology ya kuuza ila hawafanyi hivyo.
Ni inakuwa kama mfano moja 3000, basi matatu 8000 | hapo ndipo ilipo pyschological convincing ya mteja kiona nita save 1000 nikichukua matatu ila kwa mfano ulioweka mzee hakuna anayefanya hivyo umeufosi.