Nilisikia kuna ndoa zimevunjika....
1....Preta na Mtu Chake
2....Rejao na Cantalisia
3....Nitonye na Sweetlady
4....Smiling Saint na Smile
Mh nawapa pole sana watalaka wote....karibuni tena kwa kundi la mabachelor
Nilisikia kuna ndoa zimevunjika....
1....Preta na Mtu Chake
2....Rejao na Cantalisia
3....Nitonye na Sweetlady
4....Smiling Saint na Smile
haa!....usinitake nizikiri uchi wewe.....hii haiwezi tokea.....
mimi na yeye mpaka akhera.......
bebii umeona PM yangu kwako?
nimeiona hanee....ngoja nikakujibu.....
waacheni watoto wazuri waje kwangu kwani ufalme wa moyo wangu ni wakwao. Kama wewe umetemwa na mpenzi au upo single nakukalibisha nafsini mwangu. usiumie kutemwa kwako bali shangilia coz umenipata. Umesika preta na wengine wote?
mbona tushaambiwa umeachwa? kubali bana watu tukumiliki.
Kuna nini hapa ...Mbona mmekimbia mapoint kule Bungeni
kweli nimeamini wengine na siasa ni kama maji na mafuta wakijaribu tu ni Ban
..
Hahahahaaa lolhaa!....usinitake nizikiri uchi wewe.....hii haiwezi tokea.....
mimi na yeye mpaka akhera.......
Mtu chake acha maneno...Mbona Tanmo alipokuja A Town alikuzidi kete...lolhahahahahahahaha...kutokea hiyoo...ni ndoto....
Hahahahaaa nani anataka Stress leo jumanne?Kuna nini hapa ...Mbona mmekimbia mapoint kule Bungeni
kweli nimeamini wengine na siasa ni kama maji na mafuta wakijaribu tu ni Ban
..
Haya, ngoja nifunguke sasa!
Mimi ni mjane jamani, tangu wifi yenu Mpolee apotee mazima hajapatikana wa kuziba pengo lake (na arobaini ishapita), and this baridi is killin' me kwa kweli.
Nakaribisha maombi toka kwa warembo wote wa Chit-Chat kupitia PM, uzi huu au hata independent thread, from this moment!
Patiently waiting...