BabaMorgan
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 5,196
- 14,371
Shikamoo hiyo ni salamu ya kikoloni....Hivi kwann TZ hakuna salamu ya jumla ambayo mtu wa rika lolote awe na uwezo kumsalimia mtu yeyote bila mtafaruku mbali na shkamoo
Hivi kwann TZ hakuna salamu ya jumla ambayo mtu wa rika lolote awe na uwezo kumsalimia mtu yeyote bila mtafaruku mbali na shkamoo
Shikamoo ndio kila kituHivi kwann TZ hakuna salamu ya jumla ambayo mtu wa rika lolote awe na uwezo kumsalimia mtu yeyote bila mtafaruku mbali na shkamoo
Mad Max Niliwahi kumsalimia dada mmja ambaye ni mkubwa kidogo kwangu, "habari ya arubuhi" manake niliona kama shkamoo ataona namzeesha iv, hakujibu akasema iv we wa kuniambia shkamoo mm, dah wakati kuna wakubwa zaid yake huwa nawapa shkamoo wanaipotezea kiaina hata tukikutana mara ya pili siwez kumpa tena shkamoo
Hebu jipige selfie kwanza halafu ututumie humu tuone kama kuna ukweli wa kile unachokisema.