kwann wanawake kama hana kazi ukamtafutia akaanza kazi anajikuta ni kama kamaliza kila kitu jeuri zarau na kiburi juu . nikivaa viatu vyako inaumiza mwanamke kukujibu jeuri kama hyo . na inaonekana alikuwa na boss wake wanafanya yao ndo mana hakupokea cm . jaribu kumchunguza ukibaini ukweli piga chini ukikaidi jiandae kuua au kujiua kwa ajili ya upuuzi mapenzi
Umepositi Ukiwa Na Hasira, Hakuna Mtiririko Wa Tukio Na Visa, Muombe Mungu ,Hili Nalo Litapita, Mapenzi Yanauma, Usichukue Maamuzi Mawili Tu, Kuua & Kujiua,, Mengine Chukua, All The Best
Umepositi Ukiwa Na Hasira, Hakuna Mtiririko Wa Tukio Na Visa, Muombe Mungu ,Hili Nalo Litapita, Mapenzi Yanauma, Usichukue Maamuzi Mawili Tu, Kuua & Kujiua,, Mengine Chukua, All The Best