Aisee, asa si alikuwa ana kula Gambe na mashosti wenzake, saa 5 usiku kawah sana, angerud saa 5 asubuh kesho yake ndio ungetakiwa uje uanzishe Uzi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndo mara ya kwanza mkuu, Hajawahi fanya hivyo kabla pia hajawahi nijibu as alivyonijibu , ila baada ya kuanza kazi majibu dharau zimekuwa nyingiUnapata presha vimambo vidogo vidogo hivi?
mmeshaoana tayari au bado ni uchumba?Ndo mara ya kwanza mkuu, Hajawahi fanya hivyo kabla pia hajawahi nijibu as alivyonijibu , ila baada ya kuanza kazi majibu dharau zimekuwa nyingi
Sent using Jamii Forums mobile app
Atakuwa amepata marafiki 'fake' na kuna uwezekano mkubwa kuna mtu yuko naye kwenye mahusianoNdo mara ya kwanza mkuu, Hajawahi fanya hivyo kabla pia hajawahi nijibu as alivyonijibu , ila baada ya kuanza kazi majibu dharau zimekuwa nyingi
Sent using Jamii Forums mobile app
mmeshaoana tayari au bado ni uchumba?
Piga chini,mwanamke mbishi asiyekuwa mnyenyekevu kwa mpenzi wake hafai kuolewa.