Dango4Dango
Member
- Sep 13, 2008
- 8
- 2
Pamoja mkuu,
Tupeni matokeo jamani..au kandambili hajatokea uwanjani?
Nitacomemt baada ya game
hahahaaaa, si mchezo!
si tuko mjini hapa, jua kali hadi mifukoni, sijui kwa kinibu au chawote kama kutaendeka kesho!!
MERRY XMAS!!.
Hahaa ! We usikimbie tu baadae ! Mi sitoki hapa , najua wadau watakuja tu na matokeo.you wish..............!
Leo bao tu!
Hahaa ! We usikimbie tu baadae ! Mi sitoki hapa , najua wadau watakuja tu na matokeo.
mbona ghafla watu kimya, kunani...??
Yanga 1 Simba 0.Hahaa ! We usikimbie tu baadae ! Mi sitoki hapa , najua wadau watakuja tu na matokeo.