Katikomile
JF-Expert Member
- Jul 12, 2007
- 471
- 74
Kuna thread humu inamwonyesha JK ni Kiongozi wa Nchi "mrembo" wa 20 duniani!
Acheni ulofa, itafika mahali mtaenda hadi kwenye mapipa ya taka Ikulu kujua Mhe. rais amekula nini...Hipi hiyo i-copy hiyo link basi unipe hapa!
Acheni ulofa, itafika mahali mtaenda hadi kwenye mapipa ya taka Ikulu kujua Mhe. rais amekula nini...
Actually hiyo pia ni haki yetu kujua kama wapiga kura wake.... kwikwikwi... utashangaa ni kwa jinsi gani garbage ya US president inavyolindwa.. it says alot about a person!Acheni ulofa, itafika mahali mtaenda hadi kwenye mapipa ya taka Ikulu kujua Mhe. rais amekula nini...
lakini Kitu ambacho sikielewi si tu Rais wa Jamuhuri anatumia nini, ila mke wa Rais, Ziara zake anagharimiwa na Mumewe au Hazina ya Taifa ? maana anazunguka nnchi nzima, akihubiri mambo yasio eleweka, mimi nashangaa sana. nnci hii ni masikini , naamini mke wa Rais hakua mgombea mwenza niliye mpigia kura, jamani hizi pesa za ziara za MAMA SALMA zingetumika kwa mabo mengine ya maendeleo tu.
Hazina Papa ndo inafinance kila kitu thats for sure.unles kama amealikwa na sehemu hiyo labda shule au kiwanda au ofisi au anything ndo watagharamia kila kitu lakini kama ameenda kivyake bila mialiko kuangalia maendelo ni HAZINA ndo inawezesha...........our taxes that we pay