Hii hotuba ni ya kipuuzi,sijui hao campaign manager wa ccm analichukulia vp hili. Le mutu libaharia muulize mzee wangu malecela huyu ndo kijana aliyekuwa anamwandaa kuwa mrithi?
Hii clip audio yake imezagaa nimesikia clouds fm kwenye break fast wanaicheza, pia kwenye Xxl ya clouds fm nimeisikiliza. Nenda DJ Fetty kuitazama clip yake.