Tuitizame hii hotuba - Part One

OMG nitaitafuta hiyo CD nitaisambaza jimbo lote la mtera, anatukana kiasi hiki kura ya babu inadharika kiasi hiki? ila mwulizeni kilichomtoa cdm 2005 ni yeye ndiye aliyenufaika na EPA alinunuliwa akaacha kugombea. akaenda tarime aaaah the history of this bajaj inakera
 

umetumwa na nani?

moja ya sifa ya great thinker ni kujua namna ya kuhandle issues kulingana na zilivyo, nasikitika kwamba silioni hili kwako, mfano wako wa picha za porn hauendani hata kidogo na issue iliyo mezani, kama angekua kasambaza mipicha ya hovyo hadhari ningejua namna ya kuhandle kama ningehitaji kureport issue hiyo.
 

sidhani kama ccm watampitisha kupeperusha bendera yao
 
kwa matusi haya lusinde atuombe radhi watanzania kwa lazima...haiwezekani heshima ya taifa ipotezwe na watu wachache wasio na adabu kama lusinde
 
Kwanza nilisikitika sana kwa mtu mzima kama LL kutoa matusi kama hayo mbele ya watu. Halafu sijui wana harakati wa jinsia wapo wapi, ametumia neno mimba kama ni laana au mchezo unaoweza kuufanyia mzaha huku mamia ya akina mama wanapoteza maisha hospitalini wakati wa kujifungua. Kwa hiyo anaona mimba kama ni jambo la mzaha sio? Halafu ina maana mahabusi zetu ni sehemu ya kudhalilisha watu na watawala wetu wanatumia hilo! Jeshi la polisi liko wapi hapa? Msajili wa vyama ameliona hilo au mpaka wawe ni wa kutoka upinzani? Nimebaki na maswali mengi kuliko majibu.
 
jamani kama watu walimfungulia Lema kesi ya uchaguzi wakati hawakuwa wagombea, kwa nini KIBAJAJ nae asifunguliwe kesi kwa upumbavu huu?

Mama Bisimba, na tanganyika Law society hebu tusaidieni
 
Mbunge huyo ni takataka kabisaaaa na wala hafai hata kungoza jamii, yaelekea famiali yake inaishi kwa matumaini ya matusi yake...... Ehhh mungu mjaalie Luinde ili afike 2015 aone navyong'olewa kwa CD yake ya matusi kusambazwa jimboni kwake. Aminnnnnnnnnnnnnn
 
Hiyo ni dalili ya kufilisika,kudhan kutofautiana na wewe ni kutumwa!
Anyway,na appreciate kazi ngumu uloifanya kuandika hotuba hii,shida yangu ilikuwa ni contradiction na jf rules.
Otherwise,tupo pamoja mkuu!
 
Ninajua na nina hakika Watanzania sisi ni WAOGA mbaya kabisa ... LAKINI ... With this Noooh! We must do something for our nation Jamani!! Lazima hicho KITU kifanyike SASA ... !!!
mkuu tangu useme haya umeshafanya nini kuhusu huyu mlevi anayewawakilisha mtera??
 
Sikuwa nikielewa kwamba kuwa kiongozi ndani ya CCM kunahusishwa na utaahira kama wa kijana huyu. sasa naamini CHADEMA ni chama makini kwelikweli kwani kijana huyu huyu mwaka 2005 alijipenyeza kugombea ubunge wa jimbo hilo hilo la Mtera kwa tiketi ya CHADEMA na alitoswa kiaina. Alitoka akijiapiza siku mojauwafanyia "Kweli" CHADEMA. Alitangaza kurudi CCM na naona sasa ndiyo amepata fursa ya kutema sumu zake na kuuthibitishia umma utaahira wake. CHADEMA wasisononeke sana kwani wao si wa kwanza kuvurumishiwa matusi ya nguoni, hata katika uchaguzi uliopita uliomweka nafasi ya sasa alifanya hivyo kwa Baba yake mdogo Mzee Malecela! Yaelekea ana laana na iko siku atafanya hivyo kwa Mwenyekiti wake wa CCM. tatizo la nchi hii hatuna mfumo wa kuwa "vet" wanaowania uongozi kama wana akili timamu au la ndiyo maana hata machizi wanajipenyeza kufikia hatua za ngazi kubwa kama ubunge, ukuu wa wilaya n.k.
Hii yote ni kutokana na "kufa" kwa asasi za Usalama wa Taifa ambapo sasa wamegeuka kuwa mashabiki wa siasa zaidi ya kuwa watendaji. Nasema dhambi hii itamsakama kijana huyu katika maisha yake yote na pengine huu kuwa mwisho wake wa kisiasa.
Mungu ibariki Tanzania.
 
jamani kama watu walimfungulia Lema kesi ya uchaguzi wakati hawakuwa wagombea, kwa nini KIBAJAJ nae asifunguliwe kesi kwa upumbavu huu?

Mama Bisimba, na tanganyika Law society hebu tusaidieni

mtu mwenye contact za huyu mama au za yule eli... nkya naomba tafadhali
 
Hiyo ni dalili ya kufilisika,kudhan kutofautiana na wewe ni kutumwa!
Anyway,na appreciate kazi ngumu uloifanya kuandika hotuba hii,shida yangu ilikuwa ni contradiction na jf rules.
Otherwise,tupo pamoja mkuu!

nashukuru kwamba tuko pamoja.

kuhisi umetumwa hakukutokana na wewe kutofautiana na mimi, ukiangalia post zangu zaidi ya 900 sasa sijawahi kumuuliza mtu kama katumwa au lah na mara zote wapo watu wamekua wakitofautiana na wengine wakiunga mkono.

kwa hili sikutegemea kwa sababu lipo wazi sana, ukisoma humu ndani watu wanasema, sijui kama kweli, aliwahi ku,poromoshea matusi Mh Malecela, kama ni kweli basi kuna udhaifu mahali, mo ninafatilia siasa sana lakini hii ndio kwanza naisikia.

labda kweli ilitokea na kwa sababu za kisiasa labda ilibanwa, matokeo yake ni nini? leo kasimama hadharani mbele ya watoto, katumia dk 15 kutukana tu.

kama tukifichaficha, kama tukijaribu kulainisha maneno kwa sababu yale aliyotumia lusinde, kitu ambacho hata mie naamini, yana ukakasi sana, tutakua hatusaidii. . . wacha tuyaweke wazi, jamii ione, ningependa mwenyekiti wa chama cha kijani aone, ningependa watu wa mtera waone kisha wao wataamua kama anawafaa au lah.

ninataka kuamini mwenyekiti atanishukuru kwa kumsaidia kuweka wazi tabia ya kijana wake!
 
Namkubali lusinde kwa matusi na mipasho. Halafu wameru wanamsikiliza tu na kumshangilia. Hakika wameru wametiwa mimba kudadadeeki! Na ccm ikishinda nitaamini kweli ni vishababi. Nitaamini kuwa wameru ni wachumba tu. Na ole cdm washindwe uchaguzi kwa hoja za kipumbavu kama hizi toka timu ya kampeni ya ccm. Nitafikiria kurudisha kadi ya uanachama
 
:thinking:huyo mtoa hiyo hotuba nafikiri alikuwa ameshatupia viroba uwezi ukatamka maneno kama hayo mbele ya jamii, hata walevi wanakuwaga na staa ila huyu amepitiliza, anayo bahati baada ya mkutano angekuwa anatembea mtaani aangejutia aliyoyatamka, ila ndo mwanzo wa "CHAMA CHA MAFISADI" ccm kuingia kaburini, kwani kiama chao ni 2015 kwani kunao nguvu ya umma ambayo imefikisha umri wa kupiga kura kwaiyo watakuwa wamejiandikisha, ila tungeomba sheria ibadilishwe ukiwa nje ya jimbo lako uruhusiwe kupiga kura ya rais.
 

My take:
at least CCM is trying to reveal its true colour and what it represents!
 
My take:
at least CCM is trying to reveal its true colour and what it represents!

M,agamba wasirahie haya matusi hicho kichwa kimevunda ipo siku kitapasukia kwao kianze kutoa harufu. Shauri yao
 
Naomba uthibitisho wa madaktari kama huyu jamaaa alikaa miezi 9 kwenye tumbo la mama yake,,,:lock1::crazy:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…