Tuitizame hii hotuba - Part One

Huyu apelekwe mahakamani,
Kuna makosa ya jinai hapo: Kutoa matusi hadharani,
Pia kuna udhalilishaji .....
Hii sio SIASA ni upumbavu kuwa na mtu kama huyu kwenye kundi lako.
 
Sitawahi hata mara moja katika Maisha yangu nikiwa timamu kusema hata 1% ya haya maneno kutoka mdomoni mwangu
 
Hutakiwi kutumia muda mwingi kujua kama huyu ni mtoto wa haramu, jamaa ana lugha chafu utadhani kazaliwa mtaroni! Na huyu ni mmoja wa watunga sera wa taifa ndani ya bunge! Ama kweli Tanzania nchi yangu.....
 
hIVI,MTU AKITOA MATUSI YA NGUONI,KUYAANDIKA KWENYE MTANDAO WETU TUKUFU WA jf NI RUKSA?Kwa mfano,nisikie mtu somewhere ametukana kum***e mna***mbwa ma****oni halafu nikaamua kuyamwaga hapajamvini inaruhusiwa?MODS naomba mwongozo wenu!!!!!
 
Huyu Jamaa inabidi afunguliwe kesi ya Defamation. Bahati mbaya kazi ninazozifanya sasa hivi zinanibana sana, laiti ingekuwa miezi saba iliyopita ningefile hii kesi kwa niaba ya Dr. Slaa, Mbowe, Lema, Nyerere Vs Lusinde & CCM (imehusika moja kwa moja..coz pale alikuwa akiongea kuiwakilisha CCM).. Slaa, Mbowe, Lema, Nyerere hii kesi mnashinda kabisa..vielelezo viko nje nje..!
 
Jaribu kufikiri baada ya Hotuba yake hiyo anakaribishwa mgeni rasmi say Mwalimu Julius Kambarage Nyerere-hali inakuwaje?
 
hIVI,MTU AKITOA MATUSI YA NGUONI,KUYAANDIKA KWENYE MTANDAO WETU TUKUFU WA jf NI RUKSA?Kwa mfano,nisikie mtu somewhere ametukana kum***e mna***mbwa ma****oni halafu nikaamua kuyamwaga hapajamvini inaruhusiwa?MODS naomba mwongozo wenu!!!!!

Mods...mwongozo wenu please!!!!
 
  1. Naomba hii clip apewe mwenyekiti wa chama aitizame mwanzo hadi mwisho, naamini yeye yuko na busara ya kutosha, atajua kitu cha kufanya
Mwenyekiti wa chama kipi, Magamba, wakati yy ndio alimtuma. Ameanza lini kuwa na busara
 
Hivi wana-JF huyu jamaa alimuangusha Mzee Malecela kwa mbinu gani? Ni ngumu kuamini kwa akili hii inayomsukuma mtu kutukana matusi ya namna hii mbele ya kadamnasi.
 
hIVI,MTU AKITOA MATUSI YA NGUONI,KUYAANDIKA KWENYE MTANDAO WETU TUKUFU WA jf NI RUKSA?Kwa mfano,nisikie mtu somewhere ametukana kum***e mna***mbwa ma****oni halafu nikaamua kuyamwaga hapajamvini inaruhusiwa?MODS naomba mwongozo wenu!!!!!

nikikusikia wewe unatukana sitatilia maanani, na kuja kupost hapa itakua ni makosa, nikisikia Mbunge anatoa mitusi, sasa hiyo news na sitakaa kimya nitayaeleza anayoyasema (bila kuchakachua) ili watu wajue kiongozi wao ni mtu wa aina gani
 
Mwenyekiti wa chama kipi, Magamba, wakati yy ndio alimtuma. Ameanza lini kuwa na busara

Mwenyekiti wa chama kipi>> chama cha mapinduzi

Ameanza lini kuwa na busara>> y
uko na busara sana yule mheshimiwa, chama tu ndio kinamuangusha
 
Pumbavu wewe umekidhalilisha mwenyewe chama Chako cha CHADEMA (CHADOMO) Mambo mengine mnajimaliza wenyeweeeeeee
 
we utapata PM kutoka mimi, hii kitu lazima tuisukume, mi nimetumia muda mrefu sana kuichapa hii hotuba ili wengi zaidi waisome, nimekua namsikiliza na kuandika.

unapopata nafasi ni nzuri kujitoa kwa ajili ya wengine, utapata PM yangu mkuu tuone inakuwaje, huyu mtu tumshtaki
 
Ninamfahamu Livingstone Lusinde tangu mwaka 1996,nimekaa naye Kawe akiwa fundi viatu (shoe-shiner) pale Ukwamani Stand. Nakumbuka pia kuwa wapiga debe wa pale Ukwamani kwa kipindi chote walikuwa wanamwita BWABWA wakimaanisha shoga (asiyeamini aende pale akawahoji wale vijana). Maisha ya kijiweni ya kufutafuta viatu yalipomshinda akaenda kujiunga na Kwaya ya Uinjilisti Tumaini Usharika wa Kawe-KKKT. Baada ya kujiingiza kanisani pale ndo akaanza utapela mwingine wa kujifanya MC,na alifanikiwa kupata tutendatenda twa kusherehesha ubatizo,vipaimara na mara nyingine harusi. Nakumbuka tulivyohangaika kumchangia harusi yake,baada ya kushinikizwa kumwoa aliyekuwa house-girl wa Kapten Komba - ambaye ndo mke wa Lusinde mpaka leo. Nakumbuka hotuba yake kwenye harusi yake,hajuagi kuchagua maneno Lusinde jamani. Ni mjingamjinga fulani,hawezi kuchagua maneno huyo jamaa. Lakini ndo hivyo CCM yetu imemwamini na sasa keshaanza tuongea mambo ambayo ni aibu hata kwa chama chetu chenyewe. Tubadilike wana-CCM,tusiwashirikishe watu wa aina ya Lusinde kwenye majukwaa ya kisiasa. Ninawasilisha!!
 
This person must be abnormal upstairs!
 
Mkuu sana,kwa matusi aliyoporomosha huyo anaye itwa mhe. Sikubaliani na ruhusa ya kuanika kwenye mtandao huu ambao ni wa age zote{refer jf rule,zimeainisha sababu ya porn pics kutoruhsiwa ikiwemo sababu ya watoto kuwemo humu}Naamin huyo Lusinde ana akili mbovu,ya kuweza hata kurusha hzo picha hadharan!
Hilo likitokea,zitaruhusiwa hum,eti sababu aliye rusha ni public figure?
Mwongozo wako mkuu.
nikikusikia wewe unatukana sitatilia maanani, na kuja kupost hapa itakua ni makosa, nikisikia Mbunge anatoa mitusi, sasa hiyo news na sitakaa kimya nitayaeleza anayoyasema (bila kuchakachua) ili watu wajue kiongozi wao ni mtu wa aina gani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…