Mmawia JF-Expert Member Joined Aug 20, 2013 Posts 123,265 Reaction score 98,318 Mar 1, 2014 #1 Nikiwa mtanzania na mzalendo, nawaomba watanzania wenzangu tuiombee Yanga ktk mchezo wao leo washinde dhidi ya waarabu.Mungu ibariki Tanzania!!
Nikiwa mtanzania na mzalendo, nawaomba watanzania wenzangu tuiombee Yanga ktk mchezo wao leo washinde dhidi ya waarabu.Mungu ibariki Tanzania!!
Nahonyo JF-Expert Member Joined Dec 28, 2012 Posts 5,690 Reaction score 5,568 Mar 1, 2014 #2 Ili iweje mkuu cha kujipa kazi hivi nini, miguu yao inatosha usivuruge akili yako eti kisa yanga.
Kiboko. JF-Expert Member Joined Jul 31, 2013 Posts 2,896 Reaction score 1,214 Mar 1, 2014 #3 FT Yanga 03 Farao 01 Sent from my iPhone using JamiiForums.🔩🔨
Nahonyo JF-Expert Member Joined Dec 28, 2012 Posts 5,690 Reaction score 5,568 Mar 1, 2014 #4 Kiboko. said: FT Yanga 03 Farao 01 Sent from my iPhone using JamiiForums.í-½í´©í-½í´¨ Click to expand... Mkuu hoja iliopo ni kuiombea yanga na sio kuitabilia matokea.
Kiboko. said: FT Yanga 03 Farao 01 Sent from my iPhone using JamiiForums.í-½í´©í-½í´¨ Click to expand... Mkuu hoja iliopo ni kuiombea yanga na sio kuitabilia matokea.
Mmawia JF-Expert Member Joined Aug 20, 2013 Posts 123,265 Reaction score 98,318 Mar 1, 2014 Thread starter #5 Jaim said: Ili iweje mkuu cha kujipa kazi hivi nini, miguu yao inatosha usivuruge akili yako eti kisa yanga. Click to expand... Ni katika kuonyesha uzalendo kwani hawa jamaa wanaiwakilisha nchi mkuu!!!
Jaim said: Ili iweje mkuu cha kujipa kazi hivi nini, miguu yao inatosha usivuruge akili yako eti kisa yanga. Click to expand... Ni katika kuonyesha uzalendo kwani hawa jamaa wanaiwakilisha nchi mkuu!!!
muhomakilo jr JF-Expert Member Joined Jul 28, 2013 Posts 16,213 Reaction score 15,605 Mar 1, 2014 #6 Wakicheza simba,yanga ndo wakwanza kuwaunga mkono wapinzani mfano simba vs mazembe....
Nahonyo JF-Expert Member Joined Dec 28, 2012 Posts 5,690 Reaction score 5,568 Mar 1, 2014 #7 Mmawia said: Ni katika kuonyesha uzalendo kwani hawa jamaa wanaiwakilisha nchi mkuu!!! Click to expand... Punzika usijipe kazi watawakilisha Nchi kupitia miguu yao
Mmawia said: Ni katika kuonyesha uzalendo kwani hawa jamaa wanaiwakilisha nchi mkuu!!! Click to expand... Punzika usijipe kazi watawakilisha Nchi kupitia miguu yao
Mmawia JF-Expert Member Joined Aug 20, 2013 Posts 123,265 Reaction score 98,318 Mar 1, 2014 Thread starter #8 Jaim said: Punzika usijipe kazi watawakilisha Nchi kupitia miguu yao Click to expand... Baasi sawa, ngojea sisi wazalendo tusogelee National stadium tukawape support wawakilishi pekee wa taifa tukufu la Tanganyika!!
Jaim said: Punzika usijipe kazi watawakilisha Nchi kupitia miguu yao Click to expand... Baasi sawa, ngojea sisi wazalendo tusogelee National stadium tukawape support wawakilishi pekee wa taifa tukufu la Tanganyika!!
Mmawia JF-Expert Member Joined Aug 20, 2013 Posts 123,265 Reaction score 98,318 Mar 1, 2014 Thread starter #9 Yanga hoyeeeeeeeeee.......mnyama ......ziiiiiiiiiiiii
Mmawia JF-Expert Member Joined Aug 20, 2013 Posts 123,265 Reaction score 98,318 Mar 2, 2014 Thread starter #10 Jaim said: Punzika usijipe kazi watawakilisha Nchi kupitia miguu yao Click to expand... Hiyo ndio timu ya wananchi kiongozi, najua hupendi lakini huna jinsi.
Jaim said: Punzika usijipe kazi watawakilisha Nchi kupitia miguu yao Click to expand... Hiyo ndio timu ya wananchi kiongozi, najua hupendi lakini huna jinsi.