Tuimbeni huu wimbo wa kupinga kuuzwa kwa bandari zetu kila mahali

Rutashubanyuma

JF-Expert Member
Sep 24, 2010
219,470
911,174

Nyimbo zina ushawishi mkubwa na huu utampinga fisadi kama Kabanga alivyompinga mkoloni.

Banda wa Malawi alipotaka kumega ziwa Nyasa tulimkemea kwa wimbo akaachana na tamaa zake.

Tuliimba Banda Banda wa Malawi...

Hata Idi Amin alifukuzwa kwa nyimbo tu na risasi baadaye kabisa.

Tuimbe na hawa mafisadi wa CCM watatokomea kusikojulikana
 
Haufunguki sasa
 
Zimeuzwaje? Shilingi ngapi? Malipo yameingia akaunti gani?
Yameingia kwenye akaunti yako hebu kachungulie salio utajihakikishia mwenyewe na usisahau kutujuza uliziuza kwa shilingi ngapi au hata bure nako ni kuuzwa pia
 
Back
Top Bottom