Fundi Madirisha
Senior Member
- Jun 30, 2020
- 184
- 987
Mahakama na bunge zipo mfukoni mwa ule mhimili uliojichimbia chini zaidi.Huwezi katika hali hii tuliyomo kuwashitaki katika mahakama za humu ndani, mahakama zilizodhibitiwa na serikali. Hawa wanatakiwa kupelekwa The Hague kwa kuvuruga uchaguzi na amani ya Tz.
Vibaraka woote wa jiwe lazima safari hii wakanyee debe kule GuantanamoNchi huru jukwaa huru jf kila mmoja yupo huru kutoa mtizamo aupendao!
Wamuulize yule kipara wa Sudan aliye jifananisha na Mungu leo hii yuko wapi?Mahakama na bunge zipo mfukoni mwa ule mhimili uliojichimbia chini zaidi.
Vibaraka woote wa jiwe lazima safari hii wakanyee debe kule Guantanamo
Kwa Sasa hawasikii wala kuona hayo. Nafikiri hata yule wa Sudan alikuwa anapewa mifano ya kina Idd Amin na Mobotu lakini hawafikiria kama inngeweza kutoka kwake. Ndiyo walivyo hao wakiwa madarakani. Majuto ni Mjukuu.Wamuulize yule kipara wa Sudan aliye jifananisha na Mungu leo hii yuko wapi?
Nina imani sana kuwa huyo Mahera lazima atasota sana pale The Hague
Mtangoja sana huyo Mungu anaona maovu yenu mengi ataanza na nyie!Wamuulize yule kipara wa Sudan aliye jifananisha na Mungu leo hii yuko wapi?
Hata Arap Sang' alikuwa anauliza hivyo kupitia radio yakeHivi mkifikiri ze hague ni kama kizuiani!
Nasikia ile saa sasa hivi inazima zima kama umeme wa darMtangoja sana huyo Mungu anaona maovu yenu mengi ataanza na nyie!
Inacheleweshwa tu lkn ipo tuHaki haipotei hawa mashetani wataaibika vibaya wakati wao unakaribia.
Wajiandae sana kisaikolojiaKwa Sasa hawasikii wala kuona hayo. Nafikiri hata yule wa Sudan alikuwa anapewa mifano ya kina Idd Amin na Mobotu lakini hawafikiria kama inngeweza kutoka kwake. Ndiyo walivyo hao wakiwa madarakani. Majuto ni Mjukuu.
Hili lazima lifanyike. Ni jinai iliyowazi.Tuna imani kabisa kua Kamati Kuu ya CHADEMA si kikao cha mtu mmoja na wala si sauti moja. Kama haikukaa kujadili majina ya viti maalum ya kinamama 19 na ikathibika kua haikupokea Orodha ya majina kama alivyosema mkurugenzi wake Dr Mahela maana yake NEC imeudanganya umma na ni jinsi.
Mbowe na Mnyika ni wanasiasa wazoefu siyo wajinga, wanaelewa itifaki za kila utaratibu. Hivi wanawachukia kinamama hao kiasi gani mpaka wawakane? Dunia nzima inaona ni kama mchezo unachezwa kuwasingizia bila kujua huu mchezo ni wa jambo nyeti.
Ombi langu kwa CHADEMA ni kutumia wanasheria kuishtaki NEC ithibitishe na Dr Mahera amtaje huyo katibu mkuu aliyepeleka majina kwa ushahidi. Ilithibitika kua ni uongo na nyaraka zimeghushiwa basi NEC isitambilike ikataliwe, Makamishna waliohusika katika hii jinai washtakiwe mahakamani na wafungwe jela.
Mahakama yetu isimamie haki katika hili ijiepushe na siasa isije kulivuruga taifa.
Kwangu mimi bundle ni kitu kidogo sana wewe dogo ,usidhani ninaishi maisha ya kuomba omba kama wewe hapo kwa shemeji yako PolepoleLeo kuna mtu kakwapulia wallet mapema naona bundle la kutusumbua limepatika mapema!
Makamishna wa Tume wawili ni retired Judges, Balozi mmoja na wakili mwandamizi mmoja,.Tuna imani kabisa kua Kamati Kuu ya CHADEMA si kikao cha mtu mmoja na wala si sauti moja. Kama haikukaa kujadili majina ya viti maalum ya kinamama 19 na ikathibika kua haikupokea Orodha ya majina kama alivyosema mkurugenzi wake Dr Mahela maana yake NEC imeudanganya umma na ni jinsi.