TUIGE HILI LA TIM COOK

certified mdokozi

JF-Expert Member
Jan 20, 2016
1,403
814
Apple inc CEO Tim Cook mshahara wake umeshuka kwa 15% kulinganisha ule aliopata mwaka juzi kwa taarifa zilizopo Tim Cook ame earn $8.75 mil kwa mwaka 2016..sababu kubwa Ya kupunguzwa kwa mshahara wake ni kitendo cha TurnOver za Apple inc kushuka kwa mwaka 2016 kitu kilichopelekea apple inc kutokufikia Target Yake Ya mwaka Ya $223.6 billion ambapo ilishuka kwa 3.7% short na kupata $215.6 billion hii hali si tu kwa CEO bali hata kwa CFO Luca Maestri's nae imemkumba kwa kupunguziwa 10% Ya mshahara wake ..
TUJIFUNZE NINI
hapa nYumbani Tunamashirika mbali mbali ambaYo tumekuwa tukiYapigia upatu Yajiendeshe kibiashara mfano TTCL,TANESCO,TBA ,NHC,TBC ,ATCL,TIB ,NHIC to name a few pamoja na changamoto Ya ufinYu wa bajeti na n.k lakini HaYa mashirika Yamekuwa Yana competitive advantage nzuri over the other players kwenYe market kwanini sasa Tusianze kupunguza mishahara Ya CEO's na other Senior decision making staffs kama hawata fikia Targets zao maana kuna ukweli usiopingika kuwa Viwanda vingi na Mashirika mengi Kama Mwatex ,Urafiki textile na n.k ambaYo baba wa Taifa aliYaanzisha na Yakawa YenYe nguvu Yalikufa kwa ubovu wa managements...OMBI langu kwa Utumishi kama kuna uwezekano wa kurectifY mishahara Ya hawa ndugu zetu ikawa inapunguzika Tunaposhindwa fikia Target inaweza saidia...kusukuma hili Gurudumu La maendeleo Yetu kwa ujumla
 
Back
Top Bottom