Waende Nigeria wakawang'oe Boko kharam!Kinachonishangaza Wagner Group wakienda mahali penye wanajeshi wa NATO, nato wanaanza Kulalamika alafu wanaondoka.
Nato wanawaita Wagner group kwa jina la (mamluki wa Putin) [emoji1787][emoji1787]
Mfano pale Syria, Venezuela, Afrika ya Kati, Burkina Faso, Mali, Mozambique, Na Sasa Congo na Ukraine.
NATO walipanga mpaka mwishoni mwa mwaka huu ulioisha eneo kubwa la Afrika liwe halitawaliki ili waje kwa kisingizio cha kulinda amani kumbe wanachota rasilimali za chini ya ardhi pamoja na viungo vya wanadamu.
Kitovu cha uhalifu kwa Afrika Mashariki kilipangwa kiwe eneo la Mocimboa da Praia nchini Mozambique alafu uhalifu huo ungesambazwa kwa kasi maeneo ya Mtwara kuja hadi Lindi, pwani yote ya Afrika Mashariki huku zana nzito zikishushwa Rwanda kwa kipenzi chao Kagame.
Huko Mali, Afrika ya Kati, na Burkina Faso hawa NATO walikuwa wanamtumia Mfaransa na Uingereza kutumia nguvu kubwa kusambaza makundi ya kigaidi na silaha sema bahati nzuri kuna baadhi ya mapinduzi yakawaleta vijana wanaojua michezo ya NATO ndio maana wakaomba kimyakimya usaidizi kutoka Urusi, Urusi wakapeleka wanajeshi wachache wa Wagner group.
Hata Congo Wagner group wameshaingia ndio maana unaona ufalme wa Magharibi/NATO ukilegalega juu ya yale malengo yao.
Kila wakati wanamuuliza rais wa Congo kuhusu ushirika wake na Wagner group lakini rais wa Congo anakataa.
Nakumbuka mwaka 2020 Uingereza alipanga kupeleka kikosi pale Zambia mpakani na Tanzania akishirikiana na baadhi ya mataifa mengine ya NATO, ila ilipofika muda ambao wanataka kuleta kikosi wakakuta tayari Wagner group wapo kwenye misitu ya Zambia tayari.
Na tangu Wagner group wameingia Zambia, ule uhalifu wa kukata watu vichwa kwa makundi kijiji hadi kijiji umeishia. Pia media za magharibi zimebaki kulalamika sehemu zote za dunia tofauti na kipindi cha nyuma walikuwa kazi yao ni kuripoti kuhusu ugaidi na kutabiri kuhusu ugaidi.
NATO wapumbavu sana wanataka sehemu kubwa ya dunia iingie kwenye mchakamchaka wa machafuko alafu wao waendelee kuchota rasilimali na kujiimarisha ili kukija kutulia wawe na nguvu ya kulazimisha sera zao za ushoga na ufeminist kwa nguvu.

Mashoga tutawapinga popote mtakapochomoza kichwaDogo unarusha mate sana Ushoga upo tangu enzi ya sodoma na gomora so hakuna kipya hapo ni Mungu mwenyewe atamaliza hii kadhia sio hao wabaguzi na majangiri
Bila nato kuna wajinga kama akina samia watatutesa sana.NATO ndio magaidi wa hii dunia.
Jeshi la urusi linasubiri mashoga waingie direct ili liwapelekee moto vizuri saivi pambaneni na WagnerSubiri kidogo mkuu utajua, Vikosi vipo US vinapata mafunzo ya Patriot halaf utakuja kutuambia tena hapa kuhusu Wagner Group, ukiona Urusi inakodi mamluki kiasi hiki ndani ya mwaka mmoja kwenye vita ujue hana tena jeshi, jeshi lake limeenda na maji sasa anaamua kukodi
Mkuu, uwe na hakika usemacho si tu kusema kinachokufurahisha.Wakati gadafi anatandikwa mbona walikuwepo walisaidia nini? Kingne NATO haina maslahi tena libya lengo lao limefanikishwa hayo mengine ni porojo ulimwengu wa teknolojia kila kitu kipo wqzi danganya warusi wenzako wa tandale
Majangiri mengi wa hili kundi wamefia ukraine habari unazo?
Prominent Wagner fighter who fought in Haftar's offensive on Tripoli shot dead in Ukraine
A member of the notorious Russian Wagner Group has been killed fighting in Ukraine, Russian and Ukrainian media have confirmed. Vladimir Andonov, 44 -also known as "The Executioner" for his brutality in previous wars he served in Libya and Syria- was shot dead by a Ukrainian sniper in Kharkiv...libyaobserver.ly
Pengine labda ni kwasababu Wagner ni Wapiganaji wakulipwa na hawafuati utaratibu wa kivita wa kimataifa wanapamba kwa mbinu zozote zile wanazoona wao zitawapa mafanikio(kanyaga twende) wakati Jeshi la serikali ni waajiriwa na wanabanwa na sheria (yaani kuna utaratibu wanaopaswa kuuzingatia wawapo vitani)kwahiyo wanakuwa na tahadhari kwa kila hatua wanayochukua!Hili kundi binafsi la ulinzi Wagner linapatikana wap, yaan makao yao hasa ni wap
Ni kwa nin Putin kaamua kuwatumia wao? Ni kwamba jeshi lake ni goigoi kuliko hawa Wagner au ikoje hii wakuu.
Nauliza kwa kutaka kujua siyo ushabiki
Hii imeandikwa na nani? Na ghost of Kieve?Subiri kidogo mkuu utajua, Vikosi vipo US vinapata mafunzo ya Patriot halaf utakuja kutuambia tena hapa kuhusu Wagner Group, ukiona Urusi inakodi mamluki kiasi hiki ndani ya mwaka mmoja kwenye vita ujue hana tena jeshi, jeshi lake limeenda na maji sasa anaamua kukodi
Kumbuka alianza na jeshi lake, baadae akakodi kutoka Islamic State, akaingiza wafungwa lakini na vijana wa mtaani wakapewa mafunzo na juzi hatima yao umeisikia 400 wameondoka na hao Wagner wape muda kiduchu uje hapa utueleze tena
Aisifiae mvua ujue imenyesheaMashoga tutawapinga popote mtakapochomoza kichwa
Daaaah..... Huwa ni nani anawadanganya nyie watu? Sometimes mpaka mnatia huruma.Urusi hana njaa ya natural resources ,Ndio Nchi pekee hapa Duniani inaaongoza kwa rasilimali nyingi za kila aina-ndio maana USA na Ulaya nzima kila kukicha mipango hao ni kuisambaratisha nia yao iwe kama Afrika isiyoojitambua.
Ukitaka uitawale hii Dunia lazima umukalishe chini Urusi na China vinginevyo ni kutwanga maji kwenye kinu.
Dunia imebadilika tupo 4th war generation hawatumii majeshi makubwa kufanya uvamizi. Bali ni vikundi vidogo vidogo vilivyoiva na zana wezeshi ndio vinaingia front kupiga ndondo na ni kampuni binafsi ila kazi za Serikali.
Kundi limesajiliwa Agentina ila wamiliki ni Warusi.
Waende Nigeria wakawang'oe Boko kharam!
Ficha ujinga wako basi... Hata kama unapenda mambo ya upinde na kupinda usipitilize hivyo. Facts niWakati gadafi anatandikwa mbona walikuwepo walisaidia nini? Kingne NATO haina maslahi tena libya lengo lao limefanikishwa hayo mengine ni porojo ulimwengu wa teknolojia kila kitu kipo wqzi danganya warusi wenzako wa tandale
Majangiri mengi wa hili kundi wamefia ukraine habari unazo?
Prominent Wagner fighter who fought in Haftar's offensive on Tripoli shot dead in Ukraine
A member of the notorious Russian Wagner Group has been killed fighting in Ukraine, Russian and Ukrainian media have confirmed. Vladimir Andonov, 44 -also known as "The Executioner" for his brutality in previous wars he served in Libya and Syria- was shot dead by a Ukrainian sniper in Kharkiv...libyaobserver.ly
Rwanda hii hii ambayo ndege ya DRC inaingia hadi kwao na wanaishia kulalamika tuUmeongea kishabiki, Msumbiji walikodiwa lkn kila siku walikuwa wakiuawa mpaka wanajeshi wa Rwanda walipoenda.
Vipi Ukraine naye akiamua kutoa oda ya askari Wagner Group, itakuwaje? Maana umesema hawana mafungamano na serikali ya Russia wao ni mshiko tu then wanatoa ulinzi na military actions.Nachojua n kikundi binafsi Cha ulinzi Kutoka Russia
Kinapokea oda yoyote toka kwa mtu yeyote kikubwa pesa yako tu wanatoa ulinzi wa mtu mmoja mmoja had eneo kubwa iwe mkoa na hata nchi mfuko wako tu
Wengi wanalihusisha kuwa na mafungamano na serikali ya RUSSIA lakn wao wanakataa na wanasema n kundi binafsi la ulinzi
Nitarud kwa ajil ya mission zao nchi zp wapo mission walizofanikiwa na walizoshindwa na uhusika wao katka vita vya Ukraine
Rafiki kwani we ni NATO?Upo nje ya mada. si dhan kama mwandish ameomba kujua mafanikio yao