Tuiachie Serikali itoe majibu ya nani anahusika na shambulio la Lissu, msituchanganye wananchi

Haya ya chadema yanakuhusu nn wewe?? Nyie mshafanya mlichokifanya tuachieni na ss turatibu utaratibu wetu.
Unataka huo ulinzi aupate kutoka serikalini?? Big no
 
Sasa maccm tangu lini wakatoa ushauri kwa Lissu .. Mbona mnataka kupindisha ukweli wakati inajulikana kuwa ile mission yenu imefeli. Pambaneni na hali zenu ya chadema haiwahusu kabisa.

Get well soon learned brother
Ni saw na chadema kuipa ushauri serikali ya Tanzania. Si itakuwa imepotea.
#nakwenda_zimbabwe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Loud and clear

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umeorodhesha matukio kibao ya uhalifu hapa juu. Tuambie kati ya hayo ni mangapi jeshi lilifanya kazi yake na tukajua wahalifu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mzee unajidhalilisha

Ni bora kukaa kimya
Hata ukimuuliza mtoto wa darasa la kwanza atakuambia muhusika ni nani
Kuweni BOLD na mwende katika vyombo vya usalama mkautoe huo ushahidi ili MHUSIKA huyo mumsemae na mnaemfahamu akamatwe na kuchukuliwa hatua stahiki .... na si kujificha nyuma ya keyboard tena chumbani ....afu walalamika tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nami nakupa ushauri wa bure, kwa usalama wako, kaa mbali na bavicha
 
Na ikija bainika kuwa mhusika/wahusika wako NDANI YA NYUMBA (wenyewe kwa wenyewe) tutazificha wapi nyuso zetu? ....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
katika matukio yote uliyoyasema ipi? ni fact ya serikali kati ya hayo yote? ukimya ndio unaosababisha kila mtu kusema anavyojua yeye mpaka hapo fact itakapotolewa na serikali. wewe huoni kama ukimya wa serikali ndio unasababisha hayo?
 
Taahira mkubwa wewe umetumwa na dikteta wenu kupoteza maboya.....wekeni bunduki chini tupingane kwa hoja.
 
Le Mutuz, waliuze pia mbona Kibiti, Ikwiriri wameuawa viongozi wakiwemo wa serikali na mkuu wa polisi tangu 2014 mbona hakukuwa na kelele hizo, ina maana walifurahia??? Au hawakuwa viongozi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…