Tuhuma za vyeti vya Rc Makonda ni dhaifu na hazina mashiko

Askari Muoga

JF-Expert Member
Oct 22, 2015
6,113
4,655
Hizi tuhuma za Rc wa Dar Paul Makonda kuhusu Cheti ni dhaifu na hazina mashiko
1:Kufoji Cheti kwa kawaida MTU akifoji Cheti lazima atatumia jina la halisi
2:kutumia Cheti cha MTU mwingine MTU akitumia Cheti cha Mwingine basi lazima hatatumia na jina la mwenye Cheti
3:Cheti kilicho onyeshwa na gwajima kile Cheti kimeliwa na panya na ni original sio copy ingekuwa nakala sawa je Gwajima amepata wapi Cheti cha Daudi bashite pili je ni kweli Necta wanatoa vyeti kwa Div o
Haya turudi hoja namba moja
Kama anatumia Cheti cha Paul Christian je ni lini na wapi Rc wetu aliitwa au alitambulika kama Paul Christian je kipindi yupo chuo alitambulika kama Paul Christian
Nb:Moderators usi merge Uzi we need facts
 
Back
Top Bottom