Tuhuma za Rushwa ya Wabunge Ccm zimeanza 2016 ?

Pius J. Kiwarya Lema

JF-Expert Member
Nov 14, 2013
1,097
566
Huyu Ameshindwa KAzi aliyopewa kabla hajaanza ???

Ndo tatizo LA kujidanganya kwamba

Fulani ni Mtakatifu !
Wakati mikataba yote mibovu alikuwepo barazani !

Kwa maoni yangu:
Ccm ni ile ile !!!,

Nawatakia kila kheri Na Bwana Mungu awabariki !!
 

Attachments

  • 1459543280367.jpg
    1459543280367.jpg
    46.6 KB · Views: 27
Back
Top Bottom