stay tuned lakini kwa watu ambao mshadeal na TRA najua kwenu hili ni la kawaida na hata ukitaka ku supply peni basi huyu jamaa wa Kimasai lazima apate walau nusu shilingi 100 per pen ama sivyo tenda yako haifiki kokote kule
Nimeambiwa kutokana na uzito na unyeti wa tuhma zenyewe wanasheria wamekuwa contacted maana isije ikaja kuwa libel kesi dhidi ya poster na JF kwa ujumla
Mkuu kilevi unachotumia unakunywa au unavuta? Am curious because it must be very strong to disorrient you like this. Anyway am just disregarding this thread.