Kutakuwa na hasara mara mbili iwapo anaowahonga wana akili kama ya Wema, kwenda kutunza majukwaani bila kufanya kitu cha maendeleo. Ila kama ni kama Tato wangu ambaye akihongwa anaporomosha magholofa hapo angalau analijenga taifa la kesho ingawa kwake ni msoto wa baadaye.
life is fair because it is unfair to everybody, ulikoishia ndiyo wanakoamkia wenzio.....
acha ale ujana,
...........................usipoitesa akili ujanani, utautesa mwili uzeeni.................................