Tuheshimiane jamani

sasa umu tunafundishana o tunatukanana na kupeana kashfa?
Nadhani jibu la wengi ni TUNAFUNDISHANA,
Sasa basi kama kunamtu anatoa maneno ya kashfa na ma2si hamna haja ya kujibu alicho andika,
Cha maana sana tumwache ajirekebishe

Mkuu,ukizunguka humu ndani utakuta michango mingi sana ni ya kukashifiana,kudhihakiana,kutukanana,kufehedheshana n.k na sio hapa tu.ukienda kwenye jukwaa la siasa ndio usiseme,ni matusi matusi matusi.

Someone needs to put this in order.
 
Not neccessary interesting, but reality

Yaani ingewezekana member wa jf tukakutanishwa uwanja wa taifa, ungeshangaa tulivyotofautiana background na malezi.

So kuna saa mie mtu hujibu vibaya najiambia, labda nakasirishwa na mtu aliye kwenye dozi ya akili na kasahau kunywa dawa siku hiyo afu mie nakasirika, kwa hiyo huwa nachukulia ize sana.

You mean,disgracing each other is interesting?
 
Ha ha wapi huko shosti nataka nielekeze gari huko naona pipo zinapeana nasaha its gud 4 them nway wengine we dnt care
kumekucha watoa ushauri nasaha!!
Mkimaliza kutema povu mje jacaranda mshushie na ndovu
 
Mkuu,ukizunguka humu ndani utakuta michango mingi sana ni ya kukashifiana,kudhihakiana,kutukanana,kufehedheshana n.k na sio hapa tu.ukienda kwenye jukwaa la siasa ndio usiseme,ni matusi matusi matusi.

Someone needs to put this in order.

maself kama mtu anatukana huwa najaribu kumkumbusha na asipo sikia sinahaja ya kuchangia wazo analolitoa so atabaki kusubiria nijibu kumbe hola,
 

Well,ni reality.its true that the world is overly corrupted but that does not mean we have to subscribe to and embrace corruption. By the way this is not how things were supposed to be,so when we are at our proper senses we need work this out together.

Man is just not like any other creation except God Himself.infact the disgracing comments and statements we make about each other amount to abusing the almighty God Himself.

Kongosho,you can not let this happen around you just like that.
 
Aise kuna watu wnakera mazee,yan kataja jina la mama yangu na ndugu zangu kwenye mfano,amenikera ikabidi nimwache aridhike na anachoamini,
 
Hahahah...
Yote maisha tu mkuu, makelele ya mbu hayakufanyi ukose usingizi

Aise kuna watu wnakera mazee,yan kataja jina la mama yangu na ndugu zangu kwenye mfano,amenikera ikabidi nimwache aridhike na anachoamini,
 
Ha ha wapi huko shosti nataka nielekeze gari huko naona pipo zinapeana nasaha its gud 4 them nway wengine we dnt care

umeona eee njoo kino bana opposite na mango
pipo iko penda sana nasaha wanazeesha maini yao bure.
 
Si wajua mie si muumini wa hiyo mambo...

azam juice au habari ya mjini chill willy inahusika.
Remember we are on the same boat best.
Hivi mbona unapenda kutema the povu's?
 
gfsonwin,niliipenda ile issue ya kilikuu wa Kwanza,vipi tuanze kukuchangia au ilivamiwa na Virus.
 
hayo mambo usemayo yapo tena na yanazidi kuja kwa kasi na tusipoweza kuji control wenyewe
kwakweli tutahiaribu JF yetu.

Pia nilikuwa na ombi kwa ma mods wasisubiri watu warumbane na wameshatukanana vya kutosha ndio watoe BAN, la hasha!

Pale inapotokea mtu Kamtolea mwenzie maneno machafu na matusi hapohapo ale BAN ili asiendelee kutuharibia jukwaa na kupata kichwa cha kuendelea kutoa kashfa kwa wengine.

Nasema hivyo kwasababu yalishanikuta nilitolewa matusi na haikutosha nikaanzishiwa na thread ya matusi juu yangu nami nilishindwa vumilia ikabidi niingie ulingoni mpaka hapo moderator alipoamu kutupa haki yetu ya BAN

Leo pia nimeshuhudia kwenye jukwaa la siasa mkuu mmoja ambaye ni 'he' akimtukana dada mmoja tusi kubwa kisa ni kutoridhishwa na comment yake, uzuri yule dada akachukulia poa akaamua kumpotezea.

Tujaribu kujiheshimu na kutoa michango inayojenga na si kuharibu pamoja na kukwazana, utoto na ujinga uweke kando na tupevuke kifikra!!!!!!
 
Pole sana lady doctor hasa kwa humanity yako ya kuridhika na zawadi ya ban.

Mimi naweza kutoa ushuhuda kwamba kama na makosa ya kauli tu nimejifunzia na kuyashiriki kwa kiwango kikubwa sana hapa JF,all to find nafanya kosa kubwa sana.

Kama tukiamua kuheshimina hapa panaweza kama ambavyo naamini inapaswa kuwa chanzo cha msingi wa kejenga jamii imara sana.

Ukiangalia kule kwenye jukwaa la siasa na yote yanayotokea in real piltics hapa nchini ni matokeo ya watu kutoheshimiana.matokeo yake taifa letu limeanza kushuhudia mambo ya ajabu kabisa katikati yetu.

Nadhani tunapaswa kumshirikisha Mungu sasa.
 
Sangarara haihitaj kwenda shule kujua kwamba kwenye hii post ulilenga kuwasema wanawake. angalia kwenye green umesemaje?? halaf njoo angalia kwenye blue you will see the meaning of your article.
 
Last edited by a moderator:
kumekucha watoa ushauri nasaha!!
Mkimaliza kutema povu mje jacaranda mshushie na ndovu

...au Kontena kwa Ras waje kula kitimoto ya kubanika na ndizi.
 
Sangarara haihitaj kwenda shule kujua kwamba kwenye hii post ulilenga kuwasema wanawake. angalia kwenye green umesemaje?? halaf njoo angalia kwenye blue you will see the meaning of your article.

Naomba nikubari hizo kasoro zilizojitokeza.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…