Kkimondoa
JF-Expert Member
- May 31, 2014
- 4,452
- 4,937
kuna unafiki mwingine huku unaongea lakin moyo nafsini unakisuta na kukushuhudia kwamba unacho ongea ni uongo, hebu tizama mwenendo wa vhaguzi zote awamu hiii utajua ni yupi kavhokwa na wananchi ila anategemea hisani ya polisi na tume ya uchaguziVifutwe Mara ngapi?
Uchaguzi wa marudio wa Jana CCM imeshinda Kwa 100%
Wanyonge wamewachoka Wachochezi Na Matapeli