wiseboy.
JF-Expert Member
- Aug 11, 2014
- 2,932
- 4,542
Naomba uwe ni mjadala wa kistaarabu kabisa Nawaomba mods mtu yeyote akitaka kuvuruga mjadala huu apewe ban,usiwe mjadala wa kisiasa uwe wa kibinadamu tu.
Ndugu yetu, rafiki yetu, kaka yetu, mdogo wetu, mtoto wetu, mjomba wetu, binamu yetu na n.k hatujui alipo hadi sasa.
Mtu asiye julikana alimtishia maisha kupitia ujumbe mfupi wa simu.
Hadi sasa hakuna aliyekamatwa kuhusiana na vitisho hivyo.
Hatujui iwapo Ben ni mzima huko alipo au tayari hatupo naye tena duniani.
Kinachohuzunisha na kuumiza zaidi ni kwamba "Ben has left no trail to trace behind ".
Tabia ya kuwanyoshea kidole watu kuwa eti ni flani anajua alipo Ben au kamficha ni tabia ya ajabu Sana.
Ingekuwa ni Marekani hadi sasa Tungekuwa tumeshajua ni nini kilimpata Ben, labda Kwa Sababu siye bado tupo nyuma kitekinolojia lakini ingesaidia Sana kumtambua hata Kwa sasa mtu aliyemtishia maisha Ben maana namba zake za simu Zipo wazi.
Matatizo yaliyomkuta Ben si ya kufurahia hata kidogo, yanaumiza na kufikirisha Sana, hebu fikiria endapo Ben angelikuwa mtoto wako, au ndugu yako , how would you have felt?
Tatizo la Ben linaweza kumkuta mtu yeyote yule, ndugu zangu, tunaijua leo ila hakuna aijuaye kesho, kesho ni ya Mungu.
Naomba tuufunge mjadala huu Kwa kumwombea ndugu yetu popote pale alipo, bila kujali tofauti zetu kisiasa.
Na Mungu aikumbatie familia yake na wazazi wake.