Kuna uzi wa Bulldog kule watu wanataja tu vyakula ila kufundishana kupika hawasemi, please kama unaweza tuambie chakula chako unachojua kupika,unachokipenda au kwa ajili ya watoto kwa mfano;uji wa watoto huwa ni changamoto kwa kuangalie uzito,wepesi na mchanganyiko wa kilichomo ndani.