Tuepushe umwagaji damu unaokuja

Tuepushe umwagaji damu unaokuja

passioner255

JF-Expert Member
Joined
Apr 22, 2019
Posts
6,523
Reaction score
12,502
Nimeangalia hali ya kesho ya Tanzania na inaonekana wazi kuwa bila kuchukua hatua mapema tutapata madhara makubwa.

Naomba wanaume wa nchi hii wachukue hatua kumng’oa huyo Mama pamoja na Bt, na wote waliogusa au kushiriki katika mauaji wakamatwe na kufikishwa kwenye mkondo wa sheria bila upendeleo.

Nchi ipo kwenye hali mbaya. Hao wachache wanaosababisha machafuko waondolewe mara moja. Hivi ndani ya CCM hakuna mtu mwenye uchungu na sisi ndugu zao?
 
1000059165.jpg
 
Gen Z kabla ya Oktoba 29 walikuwa wanadharaulika sana! Ila baada ya hiyo tarehe; hakika tumeishuhudia nguvu yao.
 
Si ajabu sisi wana CCM tunaitwa "primitive". GEN Z wanaingia kwenye mitandao ya JWTZ na kufyonza taarifa nyeti.

Leo yule wanayemuita Rais wao wa GEN Z, Abil au Habil,ameingia kwenye mfumo wa vyombo vya ulinzi likiwemo JWTZ.
Ni hatari mno.
 
Back
Top Bottom