Kumbuka na lile agizo la wabunge kutokwenda kumjulia hali Lissu aliposhambuliwa.Kuna meseji juzi imetumwa na JK akiwa mgeni kwenye mkutano wa Yanga..Narudia hivi ukisha kuwa kiongozi ata kama unataka A na kuna watu wa B lazma wote uwachukulie sawa maana sote ni watanzania. Mwenzenu anasema iweje umtangaze mpinzani,iweje upeleke maendeleo kwa mpinzani,iweje nishirikiane na wapinzani. Apo hua napata mashaka na kuuliza hivi kweli huyu ni damu ya Tanzania?
Never, ameshaonyesha sio mtu wa kujifunza kutoka kwa wengine.Amen, naunga mkono hoja.
Naamini hili hata Blaza yaani Bro Mkubwa ameliona hivyo atawaita kukutana nao home na kutoa mawazo yao na duku duku zao.
P.
Amen, naunga mkono hoja.
Naamini hili hata Blaza yaani Bro Mkubwa ameliona hivyo atawaita kukutana nao home na kutoa mawazo yao na duku duku zao.
P.
Tatizo ccm inalqzimisha kukubalika kwa kutumia green guards, police, jeshi na hata hizi mahakama za mwanzo mwanzoWaungwana wa JF nimeona niandike haya baada ya kutafakari sana juu ya ninachokiona sijui na wenzangu kama mnaliona hili, Kwa uelewa wangu siasa si chuki, ugomvi, hila, visasi ila siasa ni hoja, mwenye hoja humshinda asiye na hoja au mwenye hoja hafifu. Ikubukwe sote ni watanzania ingawaje tunatofautiana tu itikadi za vyama. Sasa naona kama kuna kachuki kanajengeka kati ya chama tawala na upinzani. Imekuwa kama ni uadui, wa upinzani anaanza kumchukia wa chama tawala wa chama tawala anamchukia mpinzani. Mimi nimeliona hili hata humu JF. Kwa mwenendo huu Nchi yetu hatutafika kabisa tunakoelekea sio kuzuri utofauti wa vyama usituletee utengano na chuki baina yetu. Sisi ni watoto wa Baba na mama mmoja nao ni TANZANIA. tuishi kwa kupendana.
Bahati mbaya hata wenye PhD wamemua kupalilia hii kitu. Rejea kauli ya mpango bungeniWaungwana wa JF nimeona niandike haya baada ya kutafakari sana juu ya ninachokiona sijui na wenzangu kama mnaliona hili, Kwa uelewa wangu siasa si chuki, ugomvi, hila, visasi ila siasa ni hoja, mwenye hoja humshinda asiye na hoja au mwenye hoja hafifu. Ikubukwe sote ni watanzania ingawaje tunatofautiana tu itikadi za vyama. Sasa naona kama kuna kachuki kanajengeka kati ya chama tawala na upinzani. Imekuwa kama ni uadui, wa upinzani anaanza kumchukia wa chama tawala wa chama tawala anamchukia mpinzani. Mimi nimeliona hili hata humu JF. Kwa mwenendo huu Nchi yetu hatutafika kabisa tunakoelekea sio kuzuri utofauti wa vyama usituletee utengano na chuki baina yetu. Sisi ni watoto wa Baba na mama mmoja nao ni TANZANIA. tuishi kwa kupendana.
😂😂😤😝Uchochezi wao uko wapi?
Nakinuke tu wakwanza nakuja kukukata hayo masikio yako nikikupata.
Mwanadamu asiyekubali kukosolewa basi ujue huyo ana mapungufu mengi na hafai hata kuwa kiongozi wa familia..maana ukimkosoa tu anakimbilia shoka!!
Kwangu adui wa kwanza ni mwanaccm , sijashiriki misiba yao mtaani kwangu huu ni mwaka wa 3 sasa , halafu wao pia wanafahamu kwamba sishirikiani nao kwa lolote , na namuomba Mungu aendelee kunipa ujasiri wa kuwatenga zaidi
kabisa kwa vitendo kama vya Polisi Morogoro kuzuia mkutano wa Chadema na kuruhusu Mkutano wa CCM kwa sababu za kipumbavu namna hile hawa nao Polisi hawaitakii mema nchi yetu
Basi subirini tu mwisho WA maji ni tope.Kabla hujanipata utapatwa wewe. Kama unabisha jaribu
Mkuu unaachaje kuyachukia majitu yanayo tangaza kupoteza raia wenzao kwa sababu ya madaraka? Hujasikia yanavyo kejeli mpizani aliyepigwa risasi Morogoro?Waungwana wa JF nimeona niandike haya baada ya kutafakari sana juu ya ninachokiona sijui na wenzangu kama mnaliona hili, Kwa uelewa wangu siasa si chuki, ugomvi, hila, visasi ila siasa ni hoja, mwenye hoja humshinda asiye na hoja au mwenye hoja hafifu. Ikubukwe sote ni watanzania ingawaje tunatofautiana tu itikadi za vyama. Sasa naona kama kuna kachuki kanajengeka kati ya chama tawala na upinzani. Imekuwa kama ni uadui, wa upinzani anaanza kumchukia wa chama tawala wa chama tawala anamchukia mpinzani. Mimi nimeliona hili hata humu JF. Kwa mwenendo huu Nchi yetu hatutafika kabisa tunakoelekea sio kuzuri utofauti wa vyama usituletee utengano na chuki baina yetu. Sisi ni watoto wa Baba na mama mmoja nao ni TANZANIA. tuishi kwa kupendana.
binafsi namchukia sana mccm kwa sababu ananichukia mno.Waungwana wa JF nimeona niandike haya baada ya kutafakari sana juu ya ninachokiona sijui na wenzangu kama mnaliona hili, Kwa uelewa wangu siasa si chuki, ugomvi, hila, visasi ila siasa ni hoja, mwenye hoja humshinda asiye na hoja au mwenye hoja hafifu. Ikubukwe sote ni watanzania ingawaje tunatofautiana tu itikadi za vyama. Sasa naona kama kuna kachuki kanajengeka kati ya chama tawala na upinzani. Imekuwa kama ni uadui, wa upinzani anaanza kumchukia wa chama tawala wa chama tawala anamchukia mpinzani. Mimi nimeliona hili hata humu JF. Kwa mwenendo huu Nchi yetu hatutafika kabisa tunakoelekea sio kuzuri utofauti wa vyama usituletee utengano na chuki baina yetu. Sisi ni watoto wa Baba na mama mmoja nao ni TANZANIA. tuishi kwa kupendana.